Rushwa imehalalishwa? Mbona sehemu nyingi ukienda watu wanadai rushwa bila kificho?

Wala usitaje, ni nchi nzima! Walisharuhusiwa wale Kwa urefu wa kamba zao! Kudadeki!
Kila idara imejaa upumbavu wa rushwa Kwa kwenda mbele! Shwaini wakubwa! Hawa maccm?
 
CCM na rushwa ni kama pipa na mfuniko.
 
hivo mbona vinajulikana tangu enzi na enzi
umeme nimelipia tangu mwaka jana, sijawekewa naambiwa nguzo hakuna
 
Hivi kwa sasa kuna mtu anakamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya kuomba rushwa?
 
Miaka yote rushwa ipo haijawahi kuisha whether JK au JPM rushwa ipogo. kasome ripoti za TAKUKURU kila mwaka ni mabilion wanaripoti yalitolewa kama rushwa haijalishi Rais alikua nani? Msiwe mnaropoka tu.
Ili Sasa ni too much,rushwa imezidi kwa MAGU ilikuwa nafuu pamojja na mapungufu yake
 
Rushwa/chai ya wazee
 
Tukisema tuna banana republic mnakataa!
 
Kama mkuu wao ni Dalali unategemea nn?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Uliishawahi kutoa taarifa za kuombwa rushwa ukiwa na ushahidi kuntu kwenye vyombo husika na hatua hazikuchukuliwa?
 
Apartments Dubai bei imeshuka kila mtu anataka kununua huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…