Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

Rushwa imepeleka Kombe la Dunia Qatar, majuto yamebaki kwa mashabiki

Tatizo ni nini hasa...? kuna nini kilicho pungua mpaka isiwe qatari...!? mashoga wa Tz nanyie mna unga juhudi za mabeberu wanao tafunwa mikund* huko Europe na America acheni ufala mbungi ina pigwa popote mazee na hii dunia hamta weza kuitawala bloodfucken [emoji849][emoji855]
Mnakuwaga na mawazo ya kisen*e muda wote mnawaza Ushoga kwani Huwa unatatuliwa marinda nn Kuna mamb mengi ok Kwa mfan mm ni mnywaji wa pombe vip sasa unipangie Kombe la dunia kufanyika Qatar ni Upuuzi mtupu

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Barida tu kwani kwani pombe ni lazima...? Tatizo lenu nyie walambwa matako mnataka kuiendesha hii dunia kwataarifa yenu hamtaweza manina, pombe pombe... bloodfucken
 
Marekani ina Mashoga wengi
Ushoga ni km utamaduni wao
Ila
Qatar hakuna mashoga
Ushoga sio utamaduni wao

Walioanza kulialia ni mashoga baada ya kuona wamezuiwa kwenda Qatar kwenda kufanya ushoga kwenye Kombe la Dunia
Halafu kwanini kitu akijihusisha mmarekani akakikosa mambo mengi ya ajabu yanaibuka.ilikuwa hivi russia kipindi mkewe england alipokosa.
 
Barida tu kwani kwani pombe ni lazima...? Tatizo lenu nyie walambwa matako mnataka kuiendesha hii dunia kwataarifa yenu hamtaweza manina, pombe pombe... bloodfucken
Ukishakuwa na mindset ya kishoga lazima uwe hivi muda wote akili inawaza tu Ushoga

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Mnakuwaga na mawazo ya kisen*e muda wote mnawaza Ushoga kwani Huwa unatatuliwa marinda nn Kuna mamb mengi ok Kwa mfan mm ni mnywaji wa pombe vip sasa unipangie Kombe la dunia kufanyika Qatar ni Upuuzi mtupu

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Kwani mtu akishabikia sana mpira anakuwa mchezaji mkuu.
 
Mbona mnauongelea sana ushoga? Mnaupenda sana au niaje??

Kama wewe sio shoga, huusiki na mambo ya kishoga. Mambo kishoga ya Qatar na marekani wewe yanakuhusu nini??

Huko wanatumia sheria za kiislam hivyo ni mengi yaliyokatazwa sio ushoga tu hata kulala na demu wako imekatazwa, pombe kampuni ni moja tu n.k

Lakini wewe umeona ushoga tu, au ndo ulichokijaza kichwani.
Ona haka nako,kanakurupuka tu kucomment ili nakenyewe kasisahaulike kua kamo humu JF,

Hivi umeisoma Thd na kuielewa kua inahusu nini?
 
Watu wanakimbilia tu issue ya ushoga lakini ukweli ni kwamba hali ya hewa ya Qatar ni changamoto sana kwa mpira wa miguu kingine World cup kuchezwa katikati ya msimu wa ligi utaziathiri timu nyingi hizo mambo za ushoga ni maneno ya watu wajinga wajinga
Okay nimekusoma, nilihis ni mambo ya LGBT tu pekee......Ila hata hivo Qatar imewekaa bayana kuwa hawatabadili iman yao ya dini ndani hizo siku 28. Kwaio hao jamaa acha waongee tuu
 
Back
Top Bottom