Russia kupeleka mbolea bure nchini Kenya

Russia kupeleka mbolea bure nchini Kenya

Mbolea alete tutaitia kwapani ila kipigo kiko pale pale....lazima apigwe.
Ukimtafakari Putin amewatukana.

Kwa Nini hakupeleka kwingine?

Kwa Nini hakuwapa nafaka akawapa mbolea,ilihali anajua Hali ya hewa ya uko?

Nikukumbushe tu,,,mwanzoni mwa SMO hii,Kenya aliwanyooshea kidole na akawaeleza mpambane na njaa.
 
Km kwel vile
 
Wakati MK254 akimtukana na kumshambulia Rais Putin kila siku, yeye aamua kumjibu kwa vitendo kwa kupeleka mbolea bila malipo nchini Kenya na gharama za usafiri italipia Russia yenyewe ili kuwakomboa na njaa wakenya wanaoteseka na njaa kali.

Nasema hivi UUNGWANA NI VITENDO.
Russia to deliver free fertilizer to Africa – Foreign Ministry
Mrusi yuko vitani baina yake na Ukraine. Lakini anapeleka mbolea ya bure nchini Kenya.(anatoa Free lunch). Hiko ni chambo au vipi. Leo anakupa mbolea bila malipo (anakulewesha/anakulegeza moyo); Kesho akikuomba asajili(mobilise & recruit) baadhi ya wananchi wako jeshini Urusi utamkatalia mtu uliyekula fadhili zake? Tuwe makini na vitu vya bure vina gharama yake.
 
Ukimtafakari Putin amewatukana.

Kwa Nini hakupeleka kwingine?

Kwa Nini hakuwapa nafaka akawapa mbolea,ilihali anajua Hali ya hewa ya uko?

Nikukumbushe tu,,,mwanzoni mwa SMO hii,Kenya aliwanyooshea kidole na akawaeleza mpambane na njaa.

Hatujali kutukanwa, alete mbolea bana ila apigwee....
Nasemaje nassmaje nasemaje!!! Apigweee!!!
 
Nitajie shirika hata moja linalodhaminiwa na UKRAINE hapa Africa kuleta ushoga
Una Elimu gani kufadhili hata utumie shirika? Ukraine yupo NATO? Mbona NATO ina mfadhili? Ww ukifadhili mtoto maskini huwa una shirika?
 
Back
Top Bottom