Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷
Bunge la shirikisho la Russia (DUMA) limepitisha na kuongeza muda wa ushirikiano wa Kijeshi na Iran ikiwa na vipengele vya kuingilia Vita yoyote endapo mshirika atashambuliwa na Taifa lolote.
==================

The Russian State Duma announced the ratification of the agreement on a comprehensive strategic partnership between Russia and Iran for a period of 20 years.

— The agreement provides for consultations and cooperation in the area of countering military and security threats, conducting joint military exercises both on the territory of the two countries and beyond, as well as coordinating positions in response to any threats that both countries may face.

IMG_20250410_002127.jpg
 
Urusi ampatie haraka Iran Nuclear

Wanamsumbua sana Iran sababu wanajua Hana huo mzigo

Awamu iliyopita ya trump,

Kiduku walipiga sana KELELE na kupeleka vikosi kibao S.korea wakimtisha kumvamia kijeshi

Mwishowe trump akasalimu baada ya kiduku kurusha KOMBORA Tupu jangwani Texas likitokea Moja Kwa Moja Pyongyang.

Na akaweka wazi kua lilirushwa maksudi bila Nuclear warhead, Ila uchokozi WA Trump ukizidi, atafunga nuclear warhead na kulitupia NEW YORK CITY.

TRUMP AKASEMA ATAJIBU NA MAJIBU YAKE YATAKUA YAKUSIKITISHA NA KUOGOFYA SANA

Mpaka trump anatoka madarakani hakujibu, na HAJAWAHI KUJIBU kabisa Hata saivi alivyorudi madarakani.😀
 
na pia zile drone ndio zikawasanua nchi nyingi kuwa mavifaru ni takataka mpango mnzima ni drone
ndipo tulipoanza kushuhudianchi nyingi zikijiimalisha kwenye drone
Sio vifaru tu, US na ISrael na washirika wa Ulaya, kwa miaka mingi wamekuwa wakifaidika sana na bashara za silaha ikiwemo ndege vita kama hizo F-35s, F-16s n.k kama silaha madhubuti katika vita...
Sasa cost za vipuri, mafunzo n.k faida zinarudi kwao, imagine F-16 ina vipuri vingapi...

Iran inakuja kuua biashara, badala ya kutumia F-16s kwenda kushambulia, wao wamejiwekeza kwenye tech ya missiles za masafa zenye usahihi na shabaha kubwa...
hilo ni pigo kwa wapiga hela, wajanja wanaona sasa mandege ni show-off tu..
 
Urusi ampatie haraka Iran Nuclear

Wanamsumbua sana Iran sababu wanajua Hana huo mzigo

Awamu iliyopita ya trump,

Kiduku walipiga sana KELELE na kupeleka vikosi kibao S.korea wakimtisha kumvamia kijeshi

Mwishowe trump akasalimu baada ya kiduku kurusha KOMBORA Tupu jangwani Texas likitokea Moja Kwa Moja Pyongyang.

Na akaweka wazi kua lilirushwa maksudi bila Nuclear warhead, Ila uchokozi WA Trump ukizidi, atafunga nuclear warhead na kulitupia NEW YORK CITY.

TRUMP AKASEMA ATAJIBU NA MAJIBU YAKE YATAKUA YAKUSIKITISHA NA KUOGOFYA SANA

Mpaka trump anatoka madarakani hakujibu, na HAJAWAHI KUJIBU kabisa Hata saivi alivyorudi madarakani.😀
Mkuu Iran ana makombora ya nuclear.. hawajaweka wazi lakini jamaa wana nuclear, na wanayo miaka mingi sana nyuma..
Hakuna anayejua huko kwenye hivyo vinu chini ya milima wamefikia uwezo upi, lakini wanafanya majaribio ya siri..
Lakini level ya urutubishaji ya uranium yao ni stage ya kutoa nuclear bomb..
 
Back
Top Bottom