Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

Mkuu Iran ana makombora ya nuclear.. hawajaweka wazi lakini jamaa wana nuclear, na wanayo miaka mingi sana nyuma..
Hakuna anayejua huko kwenye hivyo vinu chini ya milima wamefikia uwezo upi, lakini wanafanya majaribio ya siri..
Lakini level ya urutubishaji ya uranium yao ni stage ya kutoa nuclear bomb..
Wadada wa buza mnachekesha😂
 
Akili hizi ukitumia kuvukia barabara ni lazima utagongwa na gari.

Sijui nani huwa anawaaminisha ujinga kiasi hiki?
 
Eh Russia matapeli sana, hata mwaka mmoja wa makubaliano haujaisha tayari kamsaliti mwenzake 😂
 
Mkuu Iran ana makombora ya nuclear.. hawajaweka wazi lakini jamaa wana nuclear, na wanayo miaka mingi sana nyuma..
Hakuna anayejua huko kwenye hivyo vinu chini ya milima wamefikia uwezo upi, lakini wanafanya majaribio ya siri..
Lakini level ya urutubishaji ya uranium yao ni stage ya kutoa nuclear bomb..
Angekuwa kweli anayo hakuna ambaye angethubutu kumshambulia.
 
Back
Top Bottom