Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท
Bunge la shirikisho la Russia (DUMA) limepitisha na kuongeza muda wa ushirikiano wa Kijeshi na Iran ikiwa na vipengele vya kuingilia Vita yoyote endapo mshirika atashambuliwa na Taifa lolote.
==================

The Russian State Duma announced the ratification of the agreement on a comprehensive strategic partnership between Russia and Iran for a period of 20 years.

โ€” The agreement provides for consultations and cooperation in the area of countering military and security threats, conducting joint military exercises both on the territory of the two countries and beyond, as well as coordinating positions in response to any threats that both countries may face.

View attachment 3298277
Putin kama ni mwanaume aingize pua yake hapo kwa Israel mapema tu anakatwa kichwa na ndio itakua by by russia
 
Sio vifaru tu, US na ISrael na washirika wa Ulaya, kwa miaka mingi wamekuwa wakifaidika sana na bashara za silaha ikiwemo ndege vita kama hizo F-35s, F-16s n.k kama silaha madhubuti katika vita...
Sasa cost za vipuri, mafunzo n.k faida zinarudi kwao, imagine F-16 ina vipuri vingapi...

Iran inakuja kuua biashara, badala ya kutumia F-16s kwenda kushambulia, wao wamejiwekeza kwenye tech ya missiles za masafa zenye usahihi na shabaha kubwa...
hilo ni pigo kwa wapiga hela, wajanja wanaona sasa mandege ni show-off tu..
An finally the hamped them ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Putin ni rafiki mkubwa wa Netanyahu! Wana misimamo inayofanana linapokuja swala la Uzalendo kwa nchi zao!
Isitoshe Russia iko vitani na Ukrane sidhani kama ataweza kuisaidia Iran.
 
Russia hata akiwa mkweli, bado hawezi fanya vita huku na huku na pia uwezo wake tunautilia mashaka sana huwenda hata Iran iko mbele yake zaidi katika medan za kivita
 
Najisikia kucheka sana
Sio vifaru tu, US na ISrael na washirika wa Ulaya, kwa miaka mingi wamekuwa wakifaidika sana na bashara za silaha ikiwemo ndege vita kama hizo F-35s, F-16s n.k kama silaha madhubuti katika vita...
Sasa cost za vipuri, mafunzo n.k faida zinarudi kwao, imagine F-16 ina vipuri vingapi...

Iran inakuja kuua biashara, badala ya kutumia F-16s kwenda kushambulia, wao wamejiwekeza kwenye tech ya missiles za masafa zenye usahihi na shabaha kubwa...
hilo ni pigo kwa wapiga hela, wajanja wanaona sasa mandege ni show-off tu..
Ona ulivyo mwehu
 
Mkuu Iran ana makombora ya nuclear.. hawajaweka wazi lakini jamaa wana nuclear, na wanayo miaka mingi sana nyuma..
Hakuna anayejua huko kwenye hivyo vinu chini ya milima wamefikia uwezo upi, lakini wanafanya majaribio ya siri..
Lakini level ya urutubishaji ya uranium yao ni stage ya kutoa nuclear bomb..
Kwahiyo wanazo au hawana?
 
Yaani Marekani, Israel na wajanja wote wa magharibi wasijue eti wewe kapuku wa hapo Manzese kwa Mfuga Mbwa ๐Ÿ• unayeshindia uji kwa magimbi ndio ujue...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Huyu dogo anazinguaga sana.
 
Tunaisubiri hiyo ambayo Israel na US zitathubutu shambulia Iran.
tayari Israel na US zimeishambulia Iran, Urusi iko kimya haijaingia vitani kuisaidia Iran, labda tuendelee kusubiri hadi mwisho wa vita tuone kama itaisaidia vitani
 
Si Russia peke yake bali hata Marekani hawa wote daima wako hapo kulinda maslahi yao na wala si vinginevyo wako tayari wakuzuge kwa muda baadaye wanaendelea wanakuacha njia panda. Russia yeye ndiye baba wa waongo wote duniani.
Kwa muda mrefu sana amekuwa akiwachezea shere waarabu kwa kuwauzia silaha ambazo anawaaminisha kuwa zinaweza kudungua ndege za adui yao wa jadi Israel cha ajabu silaha hizo hazijaleta tija yoyote kwa nchi hizo.
Mfano mwaka 1966 Misri waliuziwa Makombola ya SAM-7 lakini 1967 Makombola hayo hayakuweza kufanya kazi yake sawa sawa kama ilivyokusudiwa.
Hawakuishia hapo Russia waliwauzia Iraq mifumo ya ulinzi wa anga ili kulinda kituo cha ki Nuclear walichokuwa wanakijenga huko Osirak matokeo yake Kitu o hicho kiliangamizwa na majeshi ya Israel kwenye Operation Babylon iliyoongozwa June 07, 1981 na kukiharibu kabisa kinu hicho cha Ki Nuclear hapo pia zana hizo pia hazikufanya kazi yake kama ilivyokusudiwa.
Russia hao hao bila aibu wakawauzia Syria mifumo ya ulinzi wa anga ya S-300 na S-400 ili kuzuia mashambulizi ya Israel nchini mwao cha kushangaza ndege za Majeshi ya Israel yamekuwa yakiingia na kutoka huko Syria na yanajipigia popote huko Syria bila hata upinzani utafikiri nchi hiyo haina mifumo ya ulinzi wa anga.
Russia hawakuishia hapo tu bali waliwauzia mifumo hiyo ya S-300 na S-400 Iran ambayo tuliona Oct 26,2024, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilianza kufanya mashambulizi ya anga katika maeneo ya kijeshi nchini Iran. IDF ilisema kuwa mashambulio hayo yalifanywa kujibu mashambulio ya Iran dhidi ya Israel tarehe Oct 01,2024 hapo pia tuliona mifumo hiyo haikufanya kazi kama ilivyokusudiwa na mifumo hiyo iliangamizwa hizo ni baadhi tu ya Utapeli wa Russia kwa nchi mbalimbali zinazojilengesha kwake.
Tukija kwa upande wa Marekani naye yuko kimaslahi zaidi hawawezi kufanya kitu chochote kwa nchi yoyote bila kuangalia maslahi mapana ya nchi yake juzijuzi tuliona akiwaingiza mkenge Ukraine Katika vita vyake na mvamizi kutoka Russia. Mataifa haya makubwa wana Siri yao moja na wanalindiana maslahi wao kwa wao na sasa hivi kuna mikataba inawekwa ya Majini huko DRC sasa hivi M-23 wanahaha sana.
Russia mjanja mjanja sana.
 
Iran iko vitani dhidi ya Israel na US wiki moja sasa Urusi bado haijaingia vitani kumsaidia mshirika wake huyo
 
๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท
Bunge la shirikisho la Russia (DUMA) limepitisha na kuongeza muda wa ushirikiano wa Kijeshi na Iran ikiwa na vipengele vya kuingilia Vita yoyote endapo mshirika atashambuliwa na Taifa lolote.
==================

The Russian State Duma announced the ratification of the agreement on a comprehensive strategic partnership between Russia and Iran for a period of 20 years.

โ€” The agreement provides for consultations and cooperation in the area of countering military and security threats, conducting joint military exercises both on the territory of the two countries and beyond, as well as coordinating positions in response to any threats that both countries may face.

View attachment 3298277
Putin laghai..
 
Yaani Marekani, Israel na wajanja wote wa magharibi wasijue eti wewe kapuku wa hapo Manzese kwa Mfuga Mbwa ๐Ÿ• unayeshindia uji kwa magimbi ndio ujue...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom