Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

South Africa wlitengeneza 6 nuclear bombs, miaka dahari nyuma, hivi akili zako zinakutosha kwa nchi kama Iran iliyoendela zaidi kwenye tech kukosa huo uchafu unaitwa nuclear? ni kipi kinachowafanya Israel kusita kuishambulia Iran? hata Israel wanaelewa hilo...
Waajemi sio wapumbavu kiasi hiko.. wawe kwenye mvutano na ugomvi na nchi zina nuclear halafu wakae kizembe..
Hujajibu swali unazunguka tu kama umekatwa kichwa we umesema hakuna anaejua we umejuaje huo utengenezaji wa nuclear
 
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷
Bunge la shirikisho la Russia (DUMA) limepitisha na kuongeza muda wa ushirikiano wa Kijeshi na Iran ikiwa na vipengele vya kuingilia Vita yoyote endapo mshirika atashambuliwa na Taifa lolote.
==================

The Russian State Duma announced the ratification of the agreement on a comprehensive strategic partnership between Russia and Iran for a period of 20 years.

— The agreement provides for consultations and cooperation in the area of countering military and security threats, conducting joint military exercises both on the territory of the two countries and beyond, as well as coordinating positions in response to any threats that both countries may face.

View attachment 3298277
Iran na Russia lazima wawe pamoja kwa sababu Europe na USA hawapendi kuona hawa jamaa wakikua kiuchumi na kijeshi.
 
Western analysts say the country has the knowledge and infrastructure to produce a nuclear weapon in fairly short order should its leaders decide to do so....
Hiyo ni kwamba bado hawana
👇

DOES IRAN HAVE A NUCLEAR WEAPON?

Iran does NOT yet have a nuclear weapon, but it has a long history of engaging in secret nuclear weapons research in violation of its international commitments.

Western analysts say the country has the knowledge and infrastructure to produce a nuclear weapon in fairly short order should its leaders decide to do so.

The United States, Israel, and other Middle Eastern partners regard Iran as a primary threat to their interests in the region, and view its potential acquisition of nuclear weapons as a game-changing scenario to be steadfastly prevented—by force if necessary....
 
Yupo 60% purity akaamua ni ndani ya wiki 4 inakuwa bom ..watafanyaje hao machoko na ww usiimbe kama kasuko
 
israel itapigwa na iran silaha atatoa russia, vita haina undugu wala haina macho lengo ni kupambana na adui, Adui mkubwa wa Iran ni Israel ndiye anayefadhiliwa ni mayahudi wakubwa zaidi US, usiandikie mate
Ukichoka kuisimanga Marekani kameze hizo ARV zinazotolewa kwa msaada na walipa kodi wa Marekani.. km Trump ataamua kukata misaada kikweli kweli tutegemee AIDS Donors watoke Iran..
 
Mleta mada unashida ya kusahau sana... Assad alipinduliwa Russia akiwa ana kambi ya Jeshi Syria na Iran akiwa ana Askari Damascus.

Russia itakachowasaidia Iran ni kuwasaidia viongozi wake tu
 
Si Russia peke yake bali hata Marekani hawa wote daima wako hapo kulinda maslahi yao na wala si vinginevyo wako tayari wakuzuge kwa muda baadaye wanaendelea wanakuacha njia panda. Russia yeye ndiye baba wa waongo wote duniani.
Kwa muda mrefu sana amekuwa akiwachezea shere waarabu kwa kuwauzia silaha ambazo anawaaminisha kuwa zinaweza kudungua ndege za adui yao wa jadi Israel cha ajabu silaha hizo hazijaleta tija yoyote kwa nchi hizo.
Mfano mwaka 1966 Misri waliuliwa Makombola ya SAM-7 lakini 1967 Makombola hayo hayakuweza kufanya kazi yake sawa sawa kama ilivyokusudiwa.
Hawakuishia hapo Russia waliwauzia Iraq mifumo ya ulinzi wa anga ili kulinda kituo cha ki Nuclear walichokuwa wanakijenga huko Osirak matokeo yake Kitu o hicho kiliangamizwa na majeshi ya Israel kwenye Operation Babylon iliyoongozwa June 07, 1981 na kukiharibu kabisa kinu hicho cha Ki Nuclear hapo pia zana hizo pia hazikufanya kazi yake kama ilivyokusudiwa.
Russia hao hao bila aibu wakawauzia Syria mifumo ya ulinzi wa anga ya S-300 na S-400 ili kuzuia mashambulizi ya Israel nchini mwao cha kushangaza ndege za Majeshi ya Israel yamekuwa yakiingia na kutoka huko Syria na yanajipigia popote huko Syria bila hata upinzani utafikiri nchi hiyo haina mifumo ya ulinzi wa anga.
Russia hawakuishia hapo tu bali waliwauzia mifumo hiyo ya S-300 na S-400 Iran ambayo tuliona Oct 26,2024, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilianza kufanya mashambulizi ya anga katika maeneo ya kijeshi nchini Iran. IDF ilisema kuwa mashambulio hayo yalifanywa kujibu mashambulio ya Iran dhidi ya Israel tarehe Oct 01,2024 hapo pia tuliona mifumo hiyo haikufanya kazi kama ilivyokusudiwa na mifumo hiyo iliangamizwa hizo ni baadhi tu ya Utapeli wa Russia kwa nchi mbalimbali zinazojilengesha kwake.
Tukija kwa upande wa Marekani naye yuko kimaslahi zaidi hawawezi kufanya kitu chochote kwa nchi yoyote bila kuangalia maslahi mapana ya nchi yake juzijuzi tuliona akiwaingiza mkenge Ukraine Katika vita vyake na mvamizi kutoka Russia. Mataifa haya makubwa wana Siri yao moja na wandali Diana maslahi wao kwa wao na sasa hivi kuna mikataba inawekwa ya Majini huko DRC sasa hivi M-23 wanahaha sana.
Asante sana
 
Mleta mada unashida ya kusahau sana... Assad alipinduliwa Russia akiwa ana kambi ya Jeshi Syria na Iran akiwa ana Askari Damascus.

Russia itakachowasaidia Iran ni kuwasaidia viongozi wake tu
Assad amepinduliwa na wananchi wake. Ulitaka Iran na Urusi zianze kuwaua raia wa Syria ndani ya Syria?
 
Assad amepinduliwa na wananchi wake. Ulitaka Iran na Urusi zianze kuwaua raia wa Syria ndani ya Syria?
Wewe Jamaa unajifanya hujui kuwa Russia walitoa Askari na msaada kwa Assad asipinduliwe...

Siku Nasrallah alipouliwa Syria walishangilia kuliko Israel sababu, Hezbollah na Iran waliwaua Wassuni wengi sana kisa kumlinda Assad
 
Wewe Jamaa unajifanya hujui kuwa Russia walitoa Askari na msaada kwa Assad asipinduliwe...

Siku Nasrallah alipouliwa Syria walishangilia kuliko Israel sababu, Hezbollah na Iran waliwaua Wassuni wengi sana kisa kumlinda Assad
Nahisi unakza fuvu tu wakati hujaelewa hoja. Assad alichokwa na wananchi wake na ameondolewa na wananchi wake. Assad alikuwa analindwa na jeshi lake la mchongo tu ambalo pia lilimchoka. Unahisi ilikuwa inawezekana kumlinda mtu amabye amechokwa na wananchi wake na jeshi lake? au ulitaka Iran na Urusi ziwaue wananchi wa Syria ili kumlinda mtu aliyechokwa na wananchi wake???
 
Yaani urusi ikaipige israel/marekani kisa iran inachapika, hii inaingia akilini?
Asa urrusi unategemea awe upande wa marekani au ? We una akili sawa sawa yaani uache kushirikiana na rafiki Yako uungane na adui yenu
 
Mkuu Iran ana makombora ya nuclear.. hawajaweka wazi lakini jamaa wana nuclear, na wanayo miaka mingi sana nyuma..
Hakuna anayejua huko kwenye hivyo vinu chini ya milima wamefikia uwezo upi, lakini wanafanya majaribio ya siri..
Lakini level ya urutubishaji ya uranium yao ni stage ya kutoa nuclear bomb..
Hana kosa
 
Ukitupatia na evidence...........utakuwa umetisha sana......... yaani kiduku arushe kombola texas harafu us wamuachie?? Pale Guam kuna madude ya kutisha sana siku kiduku akianzisha silaha hazitoki marekani bara zitatoka Guam tu na north Korea itakuwa haipo duniani tena.............Guam wapo standby wakisubilia kipenga kianze
Taarifa kama hizo waga ni za kupuuza tu maanake zinatokea kwenye masjid ubwabwa.
 
Roho nyeusi fii, una chuki na uislamu wazi wazi, haukutoki mdomoni, mada si uislamu wala dini lakini tayari ushaanza ku mchafua
Kumbe Allah anamilikiwa na waisilam?
 
Hujajibu swali unazunguka tu kama umekatwa kichwa we umesema hakuna anaejua we umejuaje huo utengenezaji wa nuclear
Ayatollah alinipigia simu akanambia..
Kuwa muelewa..
Nimeweka uthibitisho hapo juu, Iran kununua kwa siri nuclear bombs. kutoka Kazakhstan miaka ya 1990s, dalali wa deal akiwa Karl Lee...

Nashangaa mnavyokuwa surprised kusikia iran kumiliki nuclear bomb, tena hawana nuclear bomb moja wanayo ya kutosha...

Kwa miongo miwili iliyopita dunia imeshuhudia ukitaka usivamiwe kijeshi basi miliki WMDs, Nchi zote ambazo zilikosa nuke zilivamiwa na kupigwa bila huruma tukianza na Iraq, Libya waliachana na mradi huo wakavamiwa, Ukraine pia waliachana na nuke na wamevamiwa, North Korea wanajaribu nukes zao kila leo na hakuna aliye wavamia... Hata NATO wanaiheshimu Russia kwa sababu wanaelewa kuna nuclear....

Funzo ni kuwa kama unataka ku survive basi miliki nukes, hakuna atakayetaka vurugu na wewe, kwa hilo utailaumu Iran kumiliki nuclear?
Karibu miaka 10, Iran inasema kila siku inaweza tengeneza nuclear bomb ndani ya week mbili..

Sasa hizo missiles walinunua kutoka Kazakhstan walikwenda zifanyia nini?
 
Iran imempiga tafu sana Russia kwenye vita ya Ukraine.
Hii imepelekea Russia kumchukulia Iran kama mshirika wake.
Acha mahaba wewe, Tafu gani ya maana aliyompa zaidi ya iran kupewa vifaa na teknolojia? Labda kama iran alitoa askari kwa ajili ya frontline.
 
Back
Top Bottom