Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

Russia na Iran zaingia mkataba wa miaka 20 ya Kuingia Vitani endapo Mshirika atavamiwa

Kumbe Allah anamilikiwa na waisilam?
Nyinyi wakristo asilimia kubwa wa humu mna roho ngumu, na kichwani mpo empty Ktk mambo ya dini, chuki, choyo, ubinafsi,na roho mbaya

Na ndio maana hamuwezi kushinda mbele ya uislamu
 
Ayatollah alinipigia simu akanambia..
Kuwa muelewa..
Nimeweka uthibitisho hapo juu, Iran kununua kwa siri nuclear bombs. kutoka Kazakhstan miaka ya 1990s, dalali wa deal akiwa Karl Lee...

Nashangaa mnavyokuwa surprised kusikia iran kumiliki nuclear bomb, tena hawana nuclear bomb moja wanayo ya kutosha...

Kwa miongo miwili iliyopita dunia imeshuhudia ukitaka usivamiwe kijeshi basi miliki WMDs, Nchi zote ambazo zilikosa nuke zilivamiwa na kupigwa bila huruma tukianza na Iraq, Libya waliachana na mradi huo wakavamiwa, Ukraine pia waliachana na nuke na wamevamiwa, North Korea wanajaribu nukes zao kila leo na hakuna aliye wavamia... Hata NATO wanaiheshimu Russia kwa sababu wanaelewa kuna nuclear....

Funzo ni kuwa kama unataka ku survive basi miliki nukes, hakuna atakayetaka vurugu na wewe, kwa hilo utailaumu Iran kumiliki nuclear?
Karibu miaka 10, Iran inasema kila siku inaweza tengeneza nuclear bomb ndani ya week mbili..

Sasa hizo missiles walinunua kutoka Kazakhstan walikwenda zifanyia nini?
Kuna uwezekano mkubwa hujui hata Nuclear ☢️ ni nini!! Maana Iran kununua silaha za Nuclear kutoka Kazakhastan mimi sielewi kabisa!!!!
 
Ukichoka kuisimanga Marekani kameze hizo ARV zinazotolewa kwa msaada na walipa kodi wa Marekani.. km Trump ataamua kukata misaada kikweli kweli tutegemee AIDS Donors watoke Iran..
Trump kwani ninani kwani yeye hategemei nchi nyeigne? kapandisha tarrifs hasara kapata yeye masoko ya hisa US yameporomoka lakini maandamano nchi nzima kupingwa
 
Nyinyi wakristo asilimia kubwa wa humu mna roho ngumu, na kichwani mpo empty Ktk mambo ya dini, chuki, choyo, ubinafsi,na roho mbaya

Na ndio maana hamuwezi kushinda mbele ya uislamu
Naona nyie mpo kimashindano hii dini ni ya hovyo kabisa
 
Mkuu Iran ana makombora ya nuclear.. hawajaweka wazi lakini jamaa wana nuclear, na wanayo miaka mingi sana nyuma..
Hakuna anayejua huko kwenye hivyo vinu chini ya milima wamefikia uwezo upi, lakini wanafanya majaribio ya siri..
Lakini level ya urutubishaji ya uranium yao ni stage ya kutoa nuclear bomb..
Iran ana nuclear weapons hiyo iko wazi tofauti na hapo ingekua imemalizwa na ile ya Juzi tuma drone za kutosha Israel zikitoka Iran moja kwa moja mpaka Israel imestua sana watu
 
Iran ana nuclear weapons hiyo iko wazi tofauti na hapo ingekua imemalizwa na ile ya Juzi tuma drone za kutosha Israel zikitoka Iran moja kwa moja mpaka Israel imestua sana watu
Wewe hujui hata maana ya Nuclear na Iran hana silaha za Nuclear!!
 
Urusi hawezi kuingilia anamfahamu vizuri Muyahudi,hata kuke Syria Muyahudi alikuwa anajibondea tu na Mrusi alikuwa anaishia kubweka TU bila kufanya lolote
Sasa amekatwa yeye
 
Kwa sasa russia imechoka kivita, iran ipambane yenyewe. Russia ikiingia vitani kuisaidia iran dhidi ya israel marekani na washirika wake nayo itaisaidia israel
 
Israel na urusi ni ndugu kuliko hata usa na israel

Ulaya mashariki wayahudi ni wengi sana

TAtizo ukitanguliza dini lazima uwe mjinga
 
🚨🇷🇺🇮🇷 BREAKING: RUSSIA urges world NOT to 'turn a blind eye to ISRAELI crimes on IRAN.'

Says SABOTAGE of NUCLEAR TALKS on eve of diplomacy is 'particularly cynical.'
 
🚨🇷🇺🇮🇱 BREAKING: RUSSIA CONDEMNS ISRAELI ATTACK ON IRAN

"This is an unprovoked and deliberate act of escalation against a sovereign UN member. Responsibility for all the CONSEQUENCES of this provocation will fall on the ISRAELI LEADERSHIP."
 
Back
Top Bottom