Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Huo ni ujumbe uliofichwa maalum kwa Trump na Netanyahu
Sio mshirika tu mshirika mwaminifu kwa gharma kubwa ya vikwazo vya magharibi ni mfano wa kuigwa kuwa ni mshirika dhabitIran imempiga tafu sana Russia kwenye vita ya Ukraine.
Hii imepelekea Russia kumchukulia Iran kama mshirika wake.
Ni sahihi na hilo kalithibitisha kwenye hii vita ya Ukraine.Sio mshirika tu mshirika mwaminifu kwa gharma kubwa ya vikwazo vya magharibi ni mfano wa kuigwa kuwa ni mshirika dhabit
Ni muda Russia kurudisha fadhila kwa mshirika muhimu IranIran imempiga tafu sana Russia kwenye vita ya Ukraine.
Hii imepelekea Russia kumchukulia Iran kama mshirika wake.
Ni kweli, huwezi kuangalia mshirika wako muhimu akinyong'onyezwa, tafsiri yake na wewe unakuwa unanyong'onyezwa..Ni muda Russia kurudisha fadhila kwa mshirika muhimu Iran
Tunaisubiri hiyo ambayo Israel na US zitathubutu shambulia Iran.Yaani urusi ikaipige israel/marekani kisa iran inachapika, hii inaingia akilini?
na pia zile drone ndio zikawasanua nchi nyingi kuwa mavifaru ni takataka mpango mnzima ni droneNi sahihi na hilo kalithibitisha kwenye hii vita ya Ukraine.
Kiukweli zile drones za Iran zimefanya maajabu kule Ukraine..
US hawezi kuishambulia Iran kuanzisha vita, hio ni button nyekundu..Yaani urusi ikaipige israel/marekani kisa iran inachapika, hii inaingia akilini?
Sio vifaru tu, US na ISrael na washirika wa Ulaya, kwa miaka mingi wamekuwa wakifaidika sana na bashara za silaha ikiwemo ndege vita kama hizo F-35s, F-16s n.k kama silaha madhubuti katika vita...na pia zile drone ndio zikawasanua nchi nyingi kuwa mavifaru ni takataka mpango mnzima ni drone
ndipo tulipoanza kushuhudianchi nyingi zikijiimalisha kwenye drone
na pia zile drone ndio zikawasanua nchi nyingi kuwa mavifaru ni takataka mpango mnzima ni drone
ndipo tulipoanza kushuhudianchi nyingi zikijiimalisha kwenye drone
Mkuu Iran ana makombora ya nuclear.. hawajaweka wazi lakini jamaa wana nuclear, na wanayo miaka mingi sana nyuma..Urusi ampatie haraka Iran Nuclear
Wanamsumbua sana Iran sababu wanajua Hana huo mzigo
Awamu iliyopita ya trump,
Kiduku walipiga sana KELELE na kupeleka vikosi kibao S.korea wakimtisha kumvamia kijeshi
Mwishowe trump akasalimu baada ya kiduku kurusha KOMBORA Tupu jangwani Texas likitokea Moja Kwa Moja Pyongyang.
Na akaweka wazi kua lilirushwa maksudi bila Nuclear warhead, Ila uchokozi WA Trump ukizidi, atafunga nuclear warhead na kulitupia NEW YORK CITY.
TRUMP AKASEMA ATAJIBU NA MAJIBU YAKE YATAKUA YAKUSIKITISHA NA KUOGOFYA SANA
Mpaka trump anatoka madarakani hakujibu, na HAJAWAHI KUJIBU kabisa Hata saivi alivyorudi madarakani.๐
Zile drone ni hatari kuliko hata makombora wanasema "lethal drone" na zina mlipuko wa maana sanaNi sahihi na hilo kalithibitisha kwenye hii vita ya Ukraine.
Kiukweli zile drones za Iran zimefanya maajabu kule Ukraine..
Kakudanganya nini?
Uwongo wake upo wp kamwe akuachi udhalilishwe