Russia sio nchi ya kuitegemea kwenye muungano wa kijeshi na ulinzi

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Imechukua siku tatu tu Marekani kuingia kwenye vita kumsaidia Israel ila mpaka sasa Russia anaangakia mshirika wake anapigwa na watu kibao.

Jeshi la Marekani lina jisifu kuthibit anga ya Iran, na kusema wako vizuri. Russia uko wapi?
1000006147.jpg
 
Imechukua siku tatu yu Marekani kuingia kwenye vita kumsaidia Israel ila mpaka sasa Russia anaangakia mshirika wake anapigwa na watu kibao.

Jeshi la Marekani lina jisifu kuthibit anga ya Iran, na kusema wako vizuri. Russia uko wapi?
View attachment 3373731
Hivi unadhani why Putin amekuwa mpole? Umemuhakikishia mke wewe mwanaume... anakufumania umeonamishwa ndoa ipo tena? Ask putin
 
Imechukua siku tatu yu Marekani kuingia kwenye vita kumsaidia Israel ila mpaka sasa Russia anaangakia mshirika wake anapigwa na watu kibao.

Jeshi la Marekani lina jisifu kuthibit anga ya Iran, na kusema wako vizuri. Russia uko wapi?
View attachment 3373731
Kobaz muwe mnaelewa; Russia na Israel are best friends zaidi hata ya US/Israel. Mbona mmeamua kuwa wajinga?
 
Satelite za Iran Starklink ni mali ya Elon Musk, unategemea nini hapo.

Russia majuzi hapa alikuwa anapewa silaha na Iran, pamoja na North Korea, na China walikuwa wana smuggle wakaonekana wakaonywa wakaacha.

Huyo vita yake na Ukraine kesha doda hana uwezo kusaidia Iran kwa sasa zaidi ya kamdomo tu.
 
Ru
Imechukua siku tatu yu Marekani kuingia kwenye vita kumsaidia Israel ila mpaka sasa Russia anaangakia mshirika wake anapigwa na watu kibao.

Jeshi la Marekani lina jisifu kuthibit anga ya Iran, na kusema wako vizuri. Russia uko wapi?
View attachment 3373731
Russia sio taifa la kuaminika kabisa,ni wabinafsi,wanafiki.
Kamgeuka ndugu yake Ukraine licha ya mkataba wa amani kati ya nchi hizo mbili baada ya Ukraine kusalimisha makombora yote ya nuklia kwa Urusi.
Alimgeuka Armenia katika vita vyake na Kazakhstan,licha ya kuwa na defence pact.
Kamgeuka Syria majuzi,hadi Assad akakimbia.
Enzi za Soviet Mwalimu Nyerere aliomba msaada wa makombora katika vita vya Kagera lakini Mrusi huyo alitaka pesa kwanza akasahau mahusiano yetu,hadi nchi za magharibi zikatupa pesa na tukanunua makombola hayo kutoka Urusi.
Kishoka ni shida ndio sababu ataendelea kusota licha ukubwa wa Mali asili zake.
 
Russia alianza kwa kushindwa kuitetea Armenia dhidi ya Azerbaijan. Uturuki na Israel zikiwa upande wa Azeri ikashinda mgogoro wa Nagorno Kabarakh. 2019 kama sio 2020 nakumbuka.

Russia ikashindwa kumlinda Assad, Uturuki ikamtoa 2024.

Russia haiisaidii Iran 2025.

Pande zao zote wanazounga mkono Afrika hazijafanikiwa bado, kasoro Central African Republic ambapo hata bila wao pangepoa maana walienda kuwa bodyguards tu utawala. Hawa Wagner na pseudo-African Corps yao ya sasa wapo Mali wanapigwa kila siku.

Sudan pale Urusi upande wake bado haiusaidii, Libya pale angalau kidogo ila Uturuki imetoa mchango mkubwa kwa upande inaounga mkono kuizidi Urusi. Na silaha zao zilikuwa zinakinzana.

Wewe jichanganye unaingia security pact na Russia uone.
 
Rusia kapewa kifurushi chake ukraine anahangaika nacho huo muda wa kuja kumsaidia muajemi anautoa wp? Akijisahau kidogo tu kuja tehran dogo zele anaingia moscow kwa miguu.

China naye hana hbr uchumi wake upo kwenye brink zone akijichanganya uchumi wake unakuwa kama wa vietnam.

Kiduku na northkorea yake nao wamekaa kwa kutulia wakijifanya kuingilia ugomvi usiokuwa wao korea kusini wanazama ndichi na korea kaskazini inaunganishwa na korea kusini.

Beberu linahesabu za mbali sn.
 
Wagner washajiondoa Mali baada ya vipigo vya kila mara
 
Rusia kapewa kifurushi chake ukraine anahangaika nacho huo muda wa kuja kumsaidia muajemi anautoa wp? Akijisahau kidogo tu kuja tehran dogo zele anaingia moscow kwa miguu.

China naye hana hbr uchumi wake upo kwenye brink zone akijichanganya uchumi wake unakuwa kama wa vietnam.

Kiduku na northkorea yake nao wamekaa kwa kutulia wakijifanya kuingilia ugomvi usiokuwa wao korea kusini wanazama ndichi na korea kaskazini inaunganishwa na korea kusini.

Beberu linahesabu za mbali sn.
Kwa hiyo kiduku akijichanganya akaingilia anaunganishwa chap na south 🤣🤣
 
Satelite za Iran Starklink ni mali ya Elon Musk, unategemea nini hapo.

Russia majuzi hapa alikuwa anapewa silaha na Iran, pamoja na North Korea, na China walikuwa wana smuggle wakaonekana wakaonywa wakaacha.

Huyo vita yake na Ukraine kesha doda hana uwezo kusaidia Iran kwa sasa zaidi ya kamdomo tu.
Vita na Ukraine hajadoda maana tayari anakalia nusu ya Ukraine
 
Back
Top Bottom