MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Huwezi kuisaidia nchi ambayo ina mamluki na wasaliti wengi kuliko wazalendo
Kwa wingi wa mamluki waliipo Irani naimani Israel na marekani wameshapata technology ilitotumika kwenye S400
Irani imalizane na wasaliti Kwanza kabla hajaomba Msaada wa silaha