Russia sio nchi ya kuitegemea kwenye muungano wa kijeshi na ulinzi

Russia sio nchi ya kuitegemea kwenye muungano wa kijeshi na ulinzi

Kipaumbele cha China ni peaceful reunification na Taiwan

Marekani imekuwa kwenye vita vya kiuchumi na kiteknolojia na China na hata kuzuia bidhaa za China tangu Trump akiwa raisi mwaka 2018

Je, so far Marekani imefanikiwa kuishusha China?

Trump alianzisha vita vya ushuru dhidi ya China April 2025, mwezi mmoja baadaye yeye ndiyo kapiga goti kwa China tena

Wiki mbili zilizopita Trump alimpigia simu Xi wawatume wawakikishi wa mataifa yao wakutane London

Kwa hiyo Trump alianzisha vita ambavyo vilikuwa nje ya uwezo wake
​
Taiwani hawataki reunification na china wala sio Marekani.

Hayo ya uchumi ni yako tu.
 
Hivi kati ya uchumi wa China na Marekani plus Ulaya upi upo kwenye brink zone?

Bado una uwezo mdogo sana wa kuchambua masuala ya uchumi
​
Uchambuzi wako ni wa ki jihadist tu. Hauna hoja yoyote.
 
Mbona south korea, Qatar na japan zina watu kibao lakini na viinchi vingine kibao vinauchumi na technologia inayoonekana kwa macho na sio ya kubumba ya israel kila mwaka wamekalia technologia ya kulima matunda tu
Wewe ni wa madrassa hivyo hakuna unachoelewa kawahi swalaa ya adhuhuri.
 
Wewe unataka iweje, nchi ya watu milioni 10 lkn angalia GDP yake kisha ilinganishe na ya nchi yako yenye walalahoi milioni 70+
Tunajadili tu mkuu hakuna ugomvi, hoja yangu ni kwamba waisrael wamekuwa wakisifika sana kiteknolojia na kuwa na matajiri lakini hapo hapo bado tumekuwa tukiona Israel kusaidiwa sana na Marekani.
 
Mimi nilikuwa nawachora tuu eti Iran wakaingia mkataba wa miaka 45 na Urusi eti mmoja akishambuliwa mwingine anakuja kumsaidia,teh teh teh
Putin ni mafia hasa, kwa Sasa kamuacha Muajemi apambane na balaa lake ilihali kamsaidia kwa 'drone' za kutosha kuiadhibu Ukraine.
 
Vikwazo vya Marekani kwa China si lolote si chochote​
Hata Iran ilisifiwa kwamba ni taifa ambalo haliwezi kuguswa na Marekani, Teknolojia yake ya kivita ni kubwa, Iran akiguswa tu marekani atakimbia middle east. Iran mida hii anahenyeshwa na Israel kama Hamas. Mmarekani hajamgusa ila mambo yamekuwa magumu kwa Iran.
 
Taiwan Hawataki ndiyo nikasema waachwe tu, Kwanini walazimishwe?

Mkiambiwa Taiwan hawataki mnakimbilia Marekani sijui kakosa nini, China iko Mbinguni.

Taiwani hawataki Unification huo ndio udikteta tunaoupinga humu kila siku.
Ni separatists tu wa chama tawala ndio hawataki unification. Ni suala la muda tu Taiwan itarudi China​
 
Hata Iran ilisifiwa kwamba ni taifa ambalo haliwezi kuguswa na Marekani, Teknolojia yake ya kivita ni kubwa, Iran akiguswa tu marekani atakimbia middle east. Iran mida hii anahenyeshwa na Israel kama Hamas. Mmarekani hajamgusa ila mambo yamekuwa magumu kwa Iran.
Umetoka nje ya mada, tunazungumzia vita vya kibiashara na kiteknolojia kati ya China na Marekani​
 
Back
Top Bottom