Russia sio nchi ya kuitegemea kwenye muungano wa kijeshi na ulinzi

At a first place, Russia ilijitolea kua mpatanishi wa mgogoro baina ya Israel na Iran, huku marekani ikipuuzilia pendekezo hilo ikidai tayari Russia ana upande katika mgogoro huo na kwahivyo itakua ni kichekesho tu 🐒
 
Ata vita vya uganda na tanganyika aliobwa msaada mrusi akawa anapiga kona kona, tukaenda kwa mchina , mrusi sio wa kumuamin ata kidogo, ata albashri wa iraq wakat anapinduliwa alicho fanya putin aliondoa majeshi yake tu.
MAREKEBISHO
Omar Al Bashiri alikuwa Rais wa Sudan Bashar Al Asad alikuwa Rais wa Syria , Sadam Hussein alikuwa Rais wa Iraq
 
Hili ndio jibu sahihi.

Naunga mkono hoja
 
Iran yule pale na kashawasha moto,acheni maneno ya propaganda twendeni mbele.
Pro-israel mnafananisha Iran na kikundi vha mgambo cha Hamas ambacho kinamiliki mabomu ya kurusha kwa mkono na silaha za chini.

TEL Aviv Ile pale imechomeka,wamebaki propaganda na kuzuia watu wasipige picha uharibifu na kutua makombora.
 
Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya tena muite mbwa mwenye kichaa, mbwa mwenye kichaa mbadala wake ni risasi tu. Ndivo alivyoachwa ayatola afanye uharibifu kidogo ili apotezwe.
 
Nijuavyo Russia na Israel ni ndugu,kuna idadi kubwa tu ya Jews huko Russia
Hivi kwanini waisrael hawaifanyi nchi yao iwe kama Marekani kwa kiuchumi na kijeshi kuliko hivi ilivyo kwamba tunaambiwa kuwa wao ndio kila kitu mara wapo kila sehemu?
 
Kobaz muwe mnaelewa; Russia na Israel are best friends zaidi hata ya US/Israel. Mbona mmeamua kuwa wajinga?
Kobas waelewe Taifa lolote lenye viashiria vya kumuamini YESU au ukristo, Sabato ukitoa uyahudi lazima watulie namana masii ndio anatoka huko waangalie Jodarn, misri, Syria wametulia ila pia ni wanafiki kwanini Hezbollah na hamas wapo karibu na hawaingilii vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…