Taiwani hawataki reunification na china wala sio Marekani.Kipaumbele cha China ni peaceful reunification na Taiwan
Marekani imekuwa kwenye vita vya kiuchumi na kiteknolojia na China na hata kuzuia bidhaa za China tangu Trump akiwa raisi mwaka 2018
Je, so far Marekani imefanikiwa kuishusha China?
Trump alianzisha vita vya ushuru dhidi ya China April 2025, mwezi mmoja baadaye yeye ndiyo kapiga goti kwa China tena
Wiki mbili zilizopita Trump alimpigia simu Xi wawatume wawakikishi wa mataifa yao wakutane London
Kwa hiyo Trump alianzisha vita ambavyo vilikuwa nje ya uwezo wake
Taiwani hawataki reunification na china wala sio Marekani.
Hayo ya uchumi ni yako tu.
Waambie.....sera za Urusi na Israel unajua ni sawa?Kobaz muwe mnaelewa; Russia na Israel are best friends zaidi hata ya US/Israel. Mbona mmeamua kuwa wajinga?
Taiwani haitaki muungano na China, watawala wanataka kulazimisha.Kwa kuwa haupendi facts baki na ujinga wako
Uchambuzi wako ni wa ki jihadist tu. Hauna hoja yoyote.Hivi kati ya uchumi wa China na Marekani plus Ulaya upi upo kwenye brink zone?
Bado una uwezo mdogo sana wa kuchambua masuala ya uchumi
Wewe ni wa madrassa hivyo hakuna unachoelewa kawahi swalaa ya adhuhuri.Mbona south korea, Qatar na japan zina watu kibao lakini na viinchi vingine kibao vinauchumi na technologia inayoonekana kwa macho na sio ya kubumba ya israel kila mwaka wamekalia technologia ya kulima matunda tu
Itaunganishwa tu ni suala la mudaTaiwani haitaki muungano na China, watawala wanataka kulazimisha.
Hakuna tofauti ya taiwan na zanzibari.
Waachwe.
Uwezo wa vita kuwa mshindi ni idadi ya zana katika mapambano na kuungwa mkono mbona urusi mpaka leo kazidiwa na iran je ?Imechukua siku tatu tu Marekani kuingia kwenye vita kumsaidia Israel ila mpaka sasa Russia anaangakia mshirika wake anapigwa na watu kibao.
Jeshi la Marekani lina jisifu kuthibit anga ya Iran, na kusema wako vizuri. Russia uko wapi?
View attachment 3373731
Tunajadili tu mkuu hakuna ugomvi, hoja yangu ni kwamba waisrael wamekuwa wakisifika sana kiteknolojia na kuwa na matajiri lakini hapo hapo bado tumekuwa tukiona Israel kusaidiwa sana na Marekani.Wewe unataka iweje, nchi ya watu milioni 10 lkn angalia GDP yake kisha ilinganishe na ya nchi yako yenye walalahoi milioni 70+
Putin ni mafia hasa, kwa Sasa kamuacha Muajemi apambane na balaa lake ilihali kamsaidia kwa 'drone' za kutosha kuiadhibu Ukraine.Mimi nilikuwa nawachora tuu eti Iran wakaingia mkataba wa miaka 45 na Urusi eti mmoja akishambuliwa mwingine anakuja kumsaidia,teh teh teh
Ndio sababu ya kusaidiwa?Israel ni kambi kubwa la jeshi la marekani na Britain pale middle east
Ndio hawawezi kubali kambi yao iangukeNdio sababu ya kusaidiwa?
Taiwan Hawataki ndiyo nikasema waachwe tu, Kwanini walazimishwe?Itaunganishwa tu ni suala la muda
Hata Iran ilisifiwa kwamba ni taifa ambalo haliwezi kuguswa na Marekani, Teknolojia yake ya kivita ni kubwa, Iran akiguswa tu marekani atakimbia middle east. Iran mida hii anahenyeshwa na Israel kama Hamas. Mmarekani hajamgusa ila mambo yamekuwa magumu kwa Iran.Vikwazo vya Marekani kwa China si lolote si chochote
Taiwan Hawataki ndiyo nikasema waachwe tu, Kwanini walazimishwe?
Mkiambiwa Taiwan hawataki mnakimbilia Marekani sijui kakosa nini, China iko Mbinguni.
Taiwani hawataki Unification huo ndio udikteta tunaoupinga humu kila siku.
Hata Iran ilisifiwa kwamba ni taifa ambalo haliwezi kuguswa na Marekani, Teknolojia yake ya kivita ni kubwa, Iran akiguswa tu marekani atakimbia middle east. Iran mida hii anahenyeshwa na Israel kama Hamas. Mmarekani hajamgusa ila mambo yamekuwa magumu kwa Iran.
Unabii uchwara kutoka Magindu, Pwani.Ni separatists tu wa chama tawala ndio hawataki unification. Ni suala la muda tu Taiwan itarudi China