Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti,

Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa

Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu

1. Mpaka sasa week Jana natoka Moscow kulikuwa Na hali Ya sintofahamu juu Ya majenerali wanaokufa vitani,
Putin amepangua walinzi wake mara nne tokea vita imeanza, kutokana na kuhofia Usalama wake ,
2. Kuna Uhaba wa Bidhaa katika supermarkts na zimebaki zilizokaribia kuisha Muda wa matumizi,
3.mpaka tarehe 24/03/2022 warusi 1200 walikuwa wakipinga na kuandamana kukataa vita wamefungwa magerezani na watakuwa na kesi za kujibu

4. Wanajeshi wanaokufa ni wengi sana wa Urusi takriban wanajeshi 7000 wameuwawa kwa namba sahihi, Hii ni kwasababu wengi wao hawakuwa tayari na vita hii hawakupenda,

Ukawa mzozo mkubwa wa warusi kutengwa na Dunia

Waliosafiri Au waliobahatika Kusafiri wanaelewa hapa nikisema,

-Visa card yako haifanyi kazi,
-Hutaweza kulipa Au kulipwa na wadeni wako kwakuwa benki yako Iko disconnect
-hutapata visa Kwenda sehemu kadhaa Duniani hata Kama una maslahi huko
-Majumba Au mali ulizonazo zinawekwa rehani

Hayo ndo wanapitia warusi..

Suala la kutengwa Duniani kuhusu Biashara limemuumiza sana Urusi

1.Kuna nchi ambazo zilitaka kuonekana Neutral Kama India Lakin hakuna wakubishana na Dunia akaweza,

Natoa mfano tu

India na Marekani na Kwanini India hawezi poteza uchumi wake eti Kisa Ushikaji na Urusi

Watu wanadhani India ana uwezo wa kutenda Kunyume na USA.
Hebu tuangalie hapa.
Biashara kati ya India na Russia ni US$ 8 billion,
Kati ya hizo, india anaingiza US$ 2.6 wakati Russia anaingiza US$ 5.48 billion.

Biashara kati India na US ni US$ 113.391
Kati ya hizo, India anaingiza US$ 73 billion, wakati US wanaingiza over US$ 40 billion.

Yaani India abomoe uchumi wake kwa ajili ya Russia.
Kati the world largest trading partners 20 wa India duniani, Russia hayupo kabisa, halafu mnamuamini India akisema yeye hapangiwi cha kufanya...mnataka afee?.

Kabla ya kushabikia au kuyaamini maneno au taarifa zinazichapishwa. Huwa ninawafundisha watu kuwa siku zote kabla ya kuelezea maoni yao, au kuamua ku side na jambo, basi wawe wanaenda na facts zao, hata kama mhusika ndiyo anaongea, wewe just deal with the facts, the numbers, the data

Hivi India kujifaragua kwamba atanunua mafuta ya Urusi ni ya Muda tu!

Watu huwa wanaamini kuwa China na Marekani ni maadui. Siku zote nimekua nikisema China kamwe si aduiwa US. Wametuaminisha hivyo ila mimi nimegoma kuliamini hilo. Hao ni greatest partners na wanategemeana in so many ways baada ya US kuhamishia kule technolojia zake na viwanda vyake vingi kwa lengo la kupata cheap labours na masoko ambayo US asingeweza kukubalika.

Kwa kufanya hivyo aliondoa influence ya Russia kwa China. Mahusiano ya Russia na China yapo masikioni na kwa maneno zaidi, wakati mahusiano kati ya China na US ni ya dhahiri ingawa watu hawaoni, sababu ni ya kimkakati na kujizatiti zaidi. Hata ukiangalia among the Chinese wenyewe, wananchi wana prefer kuwa karibu zaidi na USA kuliko Russia.

Mwaka 2020 kulikua na Chinese 3.70+ milion wanaoishi USA, Wakati wachina waliokua wakiishi Russia mpaka mwaka 2021 walikua ni 39,000+ tu. Mind China na Russia anayesemekana kuwa greatest partner ni majirani wanao share border[emoji28], inazidiwa hata na Japan ambaye ni taifa hasimu la Jadi la China lakini ndani ya Japan kuna Wachina 770,000+.

Hata Mongolia kuna Wachina wengi kuliko Russia, Mongolia kuna Wachina takribani 1.3 milion.
Hilo litakupa mwanga wa kujua kama kweli ni adui US na China ni maadui au laah.

Katika list ya Major trading Partner wa China Duniani, Marekani ni namba moja, halafu kuna European Eunion then kuna South Korea na Japan, wote hao ukiwataja unamtaja Marekani. US ndiye kampa mchongo China wa masoko hayo, ndiye aliyempa teknology, mitaji na viwanda na ndiye aliyewaambia jao wampokee.

Hata ukija kwenye mahusiano ya kijeshi, miongoni mwa partners watatu bora wa China, US ni mmoja wapo[emoji28][emoji28], ndiye anayempa technolojia za vifaa vya kijeshi na kubadilishana taarifa za kimafunzo na kimbinu...bado ni maadui kweli hao[emoji28][emoji28]?

Uadui wa China na Marekani ni wa kutengenezwa tu.

USA siyo fala, hafanyi hizo investment ili kujiua, bali anajizatiti. They are there to stay, wamemtengeneza China ili kutoa sehemu ya wasiompenda kwenda ku ventilate ili wasije wakavimba wakapasuka wakakufa.

USA anawapenda sana[emoji28][emoji28] mpaka anajitengenezea adui mdori ili tu watu wafurahi[emoji28].

US anajua hapendwi na interests zake zinawindwa kote duniani, hivyo basi, kupitia mitaji, viwanda, technology etc alizompatia China anakua amezipaka rangi na logo ya China biashara na products zake ma hivyo kuweza kuuza Russia , Iran na sehemu zote ambazo mmarekani hakubaliki, amnako wanamuona China kama mkimbozi na mbadala wa Marekani. Wasilolijua ni kuwa US anamtumia China.

UN kwenye mzozo wa Ukraine wamepiga kura ya kuweka azimio la kuitenga Russia kuhusiana na kitendo chake cha kuivamia Ukraine, nchi 141 ziliunga mkono azimio hilo, nchi 35 hazijupiga kura kati ya nchi zilizopiga kura, nchi tano zilipiga kura kupinga hilo azimio na hovyo kuiunga mkono Russia, nchi hizo ni Russia yenyewe, Belarus, Syria, Eritrea and North Korea._* China ambaye anasemekana ndiye adui namba moja wa US na rafiki wa damu wa Russia hayupo hapo[emoji28][emoji28].

Watu wanatumia elimu zao, kufanya future predictions, innovations, management, productions, strategising and so so.. aisee, sisi ndiyo kwanza tunatumia vikao bungeni kuponda elimu na kuifubaza, pambavu zetu sisi.

Hivo China Kama ni mshkaji wa Russia asinge sita

Kuhusu kulipa Kwa Ruble Mafuta ya Urusi

Tukubali Urusi alikuwa Namba one kuuza Ulaya mafuta na gesi haina Ubishi ila kumbuka mwenye Reserve kubwa ya Mafuta Duniani ni Venezuela, na Iran Yuko miongoni mwa wenye reserves kubwa

Ally wa US Yaan UK Kalipa deni la $400M kwa IRAN na watu wake ma spy wawili wameachiwa sasa kinachofuata watamfungulia vikwazo na wanunue mafuta yake .....kuziba pengo la ya Rusia ....Marekani nae kamaliza vikwazo vya Venezuela ili akombe mafuta...

Boris wa UK alienda arabuni pamoja na kwamba mfalme kanyonga watu 81 Jumamosi Ya week kadhaa zilizopita LAKINI MAFUTA YANAFUTA DHAMBI HIYO NA LEO NAJUA MFALME ATAMWAMBIA PM KUWA HAKIKISHA CHELSEA ANAINUNUA MTOTO WA DADA YANGU...KESHAWEKA MEZANI £2.7B Sawa na $3.5B

Leo UMOJA wa Ulaya pamoja na G7 wamemwambia Urusi we can’t buy your gas by Ruble tutatumia Sarafu yetu Yaan hawataki madafu,

Italy na Spain leo wametia Saini kujenga Bomba Lao la Mafuta Kuacha kutegemea ya Urusi,

Ujerumani ambayo ilikuwa na mradi wa ujenzi wa Bomba na Urusi Kama Nordic 2 imesitishwa na pia hawatanunua gesi kwa Ruble hata Urusi wenyewe wamekubali,

Kuna Suala la Sarafu ya Ruble kupanda ni Kwa Muda tu Kwakuwa impact on currency changes have some factors moja ikiwa pegging Kama aliyo Fanya Urusi but won’t be in long run , ni kwakuwa wanunuzi wanatafta ufumbuzi wa mbadala

UPDATES

Kabla ya Mkutano wa Leo Rais Putin ameagiza Mtaalamu wa masuala ya the surgical treatment of oncological diseases," kumuondolea hofu dhidi ya Mambo kadhaa baada ya Afya yake kuwa na mzozo Kwa siku mbili mfululizo

Kyv independence na litivino wamereport hivo,

View attachment 2171628

Kuna mkutano wa maridhiano utaendelea punde kutoka pande mbili za Urusi na Ukraine,

Tokea awali Mkutano ulikuwa na mapendekezo haya kabla huko ulipofanyika Belarus

Kwanza PUTIN alikuwa kapendekeza Mkutano ufanyike Belarus kabisa, Zelensky akakataa maana anajua warusi ni mafia wa kuwekea watu Sumu , hata Roman juzi wamemuwekea,

Zelensky alisema siwezi enda kwa rafiki wa adui yangu hivo Mkutano ifanyike mpakani, Putin akakataa akampigia waziri Mkuu wa ISRAEL maana Warusi na Wa Ukraine wana muingiliano na wayahudi ndo maana wakaona ISRAEL anaweza facilitate Mazungumzo Hayo,

PM wa ISRAEL akasema basi wafnyie mpakani,

Mapendekezo ya Urusi yakawa

1. Zelensky aendelee kuwa Rais ila Yule Rais alopinduliwa mwaka 2014 Kwa maandamano akakimbilia Urusi awe waziri Mkuu ili kuleta hoja ya denazification!

2. Ukraine asijiunge NATO, EU wala asiwe na mahusiano ya Marekani

3. Urusi walisema watalipa fidia Zote kwa Ukraine,
4.Watambue DONBAS yaan Luhansk na Donestk Kama majimbo huru,

MAJIBU YA UKRAINE

1. Haitawezekana kupangiwa nani awe waziri Mkuu Kwa nchi yake

2. Suala la kutojiunga na EU halitawekaza na watajiunga ila Kwa NATO hapo watafikiria ili kulinda Neutrality

3. Kuhusu Donbas hawatakubali Ku acha hata inch moja ya mji kuchukuliwa,

KIKAO CHA UTURUKI URUSI WAKALEGEZA MASHARTI

1.Urusi ilisema in mutual trust wamesimamisha mapigano huko kuelekea Kiev, na maeneo mengine

2. Urusi wakasema Wanakubali UKRAINE ajiunge EU kuhusu NATO hapo hapana maana Kama UKRAINE atajiunga na NATO basi yake majimbo ya Donbas, Luhansk na Mauripol yajitawale kwakuwa yako mpakani kabisa,

3.Pia URUSI ILISEMA YUKO TAYARI KUKUBALI MSIMAMO WA UKRAINE JUU YA DONETSK, DONBAS, LUHANSK, ila CRIMEA HIYO HAPANA MAANA ISHAJITENGA NA UKRIANE SINCE 2014

4. Wazo la Kuijenga Ukraine , Ukraine wenyewe wamesema wana 35biln $ Kwa ajili ya Shughuli hiyo na wanazo tiyari watajenga wenyewe nadhani Hii ni michango ya Marekani na wengine,

UPDATES ZA SASA

KWA WASIOELEKWA GEOGRAFIE YA KYIV IMEZUNGUKWA NA IRIPIN NA BUCHA ndo Mlandizi na Msata Za mji wa Kyiv huko waJeshi wa Urusi walikuwa wameshapafikia Lakin wakazungukwa na majeshi ya UKRAINE na kuteka maeneo walipo ,

kwasasa kwenye Ramani hii ya satellite ya dakika nne zilizopita inaonesha majeshi ya Urusi Yameondoka Kwa wingi maeneo ya Iripin na Bucha baada ya kupata Upinzani mkubwa kutoka Kwa majeshi ya UKRAINE
Hii ni Ramani inayoonesha maeneo yaliyo kombolewa
Leo ni (blue) na jana (yellow).

Pia eneo la Chernihiv limekombolewa Rasmi.

View attachment 2171695

LEO 2/4/2022. CHERNOBYL UPDATES

BAADA YA NUCLEAR PLANT KUWA CHINI YA WARUSI KWA SIKU KADHAA NINI HADA KIMEENDELEA

1.Kwanz waliwalazimisha wafanyakazi wa Chernobyl kufanya kazi usiku na mchana isionekane wamekishika wakashindwa kukiendesha, na lengo la Urusi walitaka kuhadaa dunia kwamba lengo Lao si baya huku wakifanya kinyume , Mwandishi wa habari wa USA anaitwa Sarah Mor amefika hapo na kueleza hayo baada ya kuzuiliwa Kwa Muda neef kufika

Usiku wa kuamkia 29 kulionekana kuna leakage ya mionzi ya Urani (uranium) ikaonesha dalili zile zile za Mwaka 1986 kilipolipuka na kusababisha madhara, wakawa wanaanza kuona madhara kwenye Miili yao na wengine wakaacha kuona kwa mujibu wa mtaalamu wa mionzi Radiologist Medved akawashauri waache eneo huko liendeshwe na Wataalamu maana wanajeshi hao si wataalamu wakakaidi ila walivyoanza kupata madhara ndo wakaanza kuondoka wakiwa wanatelekezana pale

Leo hii tarehe 2 Bendera ya UKRAINE imepandishwa Rasmi

Ntaendelea Uzi usiungwe kwingine plz……

sasa mi nadhan ww ndo unaufinyu wa uchambuzi umeeleza vitu vingi kwa upana lakini nadhan unashida kwene kutoa hitimisho

-hii vita inapiganwa Ukraine syo Russia ( nan anapoteza hapo[emoji3][emoji1787][emoji1787]usijitekenye na kucheka mwenyewe)

-Ukraine inapoteza raia na wanajeshi wakat russia inapoteza wanajeshi cyo raia ,raia wake wako salama russia ( Nani kapoteza hapo[emoji1787][emoji1787])

-Ukraine inaharibiwa miundo mbinu na sirahana na vifaa vya jeshi wakat russia inaharibiwa siraha/Vifaa vya jeshi pekee ( Nan anapoteza hapo[emoji1787][emoji1787])

-vita ikiisha russia watarudi kwao ambako hakujaharibiwa Ukraine watabaki kwenr magofu na nchi iloharibiwa (Nan kafeli hapo)

Ebu nieleze ulimaanisha nn??
 
WARUSI WEUSI WA MABWEPANDA HAWAWEZI KUKUELEWA. URUSI BADO TAIFA CHANGA SANA HAWANA UWEZO WA KUSIMAMA VITANI HATA MWAKA MMOJA.

KUNA TAARIFA YA WAJESHI WAO KULA MBWA UKRAINE KWA KUKOSA CHAKULA, WARUSI WEUSI WANAKWAMBIA NI PROPAGANDA.

KUNA TAARIFA YA WAJESHI WAO KULA VYAKULA VILIVYOPITA MUDA WAKE, WATASEMA NI UZUSHI.

WARUSI WA BUZA MNAKWAMA WAPI?? HIVI MNAJUA KUWA URUSI INATEGEMEA KIASI GANI CHA PESA TOKA ULAYA KWA MAUZO YA GESI YAKE??? MNADHANI NA WAO WAKISUSA KUNUNUA GESI UNADHANI URUSI ITAJIENDESHA VIPI??? KIPARA KAPUYANGA SANA

hamna mtu anakera dunian kama anaeandika normal msg kwa herufi kubwa!!!… sijui ulisomq wap ww!!! [mention]Perfectz [/mention]
 
acha kudanganya watu mkuu,Kuna a friend of mine,yuko mosco ,unachokiongea ni tofauti kabisa ,watu Wana kula good time tu !! hata wa Ukraine waliokimbilia urusi wanasema wako mahali safe kwa Sasa ,na maisha yanaendelea ,wa Ukraine ambao walikuwa vyuo,urusi imewapa Uhuru wanaweza ku join vyuo vya urusi pasipo masharti .

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukuamini tu kwa haya maneno from 'a friend of yours',utakuwa haupo serious aisee 😀
 
Ukraine ana 72Trilions za Kuijenga nchi yake Upya ziko mkononi kwa Kutoka America Na washirika , alafu sehemu Ilo vanima Ukraine haifikii hata Nusu Ya miundombinu Ya Ukraine Majimbo yaliyo athirika Sana ni Yale Ya Mauripolo, Summy , Kharkiv Na Iripina Na Bucha Pia Na Viwanda tu Vya ndege Na Kambi za jeshi, Ukraine kapoteza kwa miundombinu sawa ila siyo Kwamba hatajenga,

Jana Zelensky katangaza kwa kila mu Ukriane alopatwa Na Janga watalipwa ndani Ya miezi miwili wajiandae Baada Ya Vita,

Kapoteza ndege Yao Ya Mirya Antonov ndo suala wanaloona ni pigo kubwa Sana

tofautisha propaganda na uhalisia!! ingekua hivo wasingekua wanalia lia
 
Huo ndiyo ukweli wenyewe na siyo hizo propaganda za britanicca kuwa eti Ukraine kakomboa miji. Unakomboa miji baada ya wanajeshi kuondoka na kuelekea mwingine!?? Uchambuzi mahaba huu.
Tunajua mmekuwa dissapointed sana,hapo mwanzo mlikuwa mnatamba kutakuwa na show ya nguvu kutoka kwa Putin,sasa mnaanza kuleta bla blah za malengo kufanikiwa kwa maneno matupu.
 
Lakini proPutin hata kidogo jaribuni kuwa waungwana na wakweli.
Leo ni siku ya 37 Toka vita vianze Putin Bado hajauona mwezi kuingia Kyv🤔
Wenyewe wanakwambia malengo yamefanikiwa kwa asilimia mia moja 🤣
 
Wadanganye hawahawa mashabiki maandazi ila sio watu wenye uwezo wa ku reason. Unasema Russia wamefiwa na wanajeshi 7000+, ila husemi Ukraine wamefiwa na wanajeshi wangapi? Unasema ndani ya urusi supermarket bidhaa zinaisha, Ukraine zipo?

Je urusi imezalisha wakimbizi wangapi? Ukraiane ni wangapi? Kichekesho ni hiki 'marekani wanaenda Venezuela kuvuna mafuta' [emoji23][emoji23][emoji23] je marekani wanamtambua rais wa Venezuela? Toka lini? Watafanya biashara na serikali wasioitambua?

Nenda kasome tena, itachukua miaka 8 kwa ulaya kupata mbadala wa ges ya urusi, haya sio maneno yangu ni wataalamu na wanasiasa wa ulaya wenyewe.
Marekani alitangaza kusitisha kuchukua mafuta nchini Urusi, kwa taarifa yako mpaka jana asubuh meli zao zilichukua mzigo.

Hao hao marekani wameondoa vikwazo kwenye mbolea kutoka urusi. Alafu wewe baada ya kula kachori unadanganya watu hapa. Semeni ukweli sio ushabiki

Jana Putin na scholz wa Germany wameongea kwa simu juu ya biashara ya gesi, wameelewana juu ya means of payments

huyo jamaa si mchambuzi n shabiki anasikiliza western midia af anakuja kutapika hapa taarifa yenye ulalo wa upande mmoja
 
Siko CNN wala na sijAweza kubase Huko Nina vyanzo sahihi kutoka field na ukitaka nianze kuweka habari ambazo naweka sasa hivi Alafu CNN na hao wengine RT wanakuja kuzitangaza Baada ya Lisaa?

unyeeee[emoji3][emoji3]

ww wakusema russia wanaloose wako kwene foreign land ambayo inapoteza kila kitu[emoji3]
 
Unataka kufail Mkuu,inakuwaje huwezi ruhusu masikio yako yapokee kile usichopenda kukisikia pia ili upate kujifunza? Tuupuuze huu uzi halafu tusome nini,basi tuletee uzi wako ili tupuuze huu🙂
Hapana MKUU maoni yangu si sheria kwamba nilazima yafuatwe
 
Ukienda facebook kwa yericko nyerere kashapoteza legacy yake kisa urusi ,haaminiki tena watu wanamponda balaa,alikuwa anajiita mtetea uhuru kumbe wapi sijui kisa alisoma urusi
huyu hapa [emoji28]
FB_IMG_1648926453671.jpg
 
Sasa unakereka nini medula yako ina defects.Nyie ndio mkisikia honi ya gari barabarani mnarukaruka hovyo.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app

Nashukuru ujumbe umekufikia na hiyo tabia umeiacha!! nilitegemea mabadiliko siwezi kuanza kujibu hiizi taarabu cha msingi saa izi unatumia herufi ndogo
 
nyie ndo mnafanya wizara ya elimu kuonekana haitoi elimu bora kumbe tu mwenye shule ulikimbia
 
Mabeberu endeleeni kujifariji, ila cha moto mnakipata.

Hakuna kiongozi smart kama Putin zama hizi. Na jamaa ni immortal
Mara nying waga nasema kila mtu anajiona smart kurko kila mtu duniani apa, ata kichaa hujiona smart sanaa, wewe pia nahisi
Putin angekuwa smart sana unavyosemea anamaliza pambano mapema ka alivyohisi
Angemaliza ndani ya wiki tu ka majasusi yake yalivyomwambia
 
Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti,

Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa

Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu

1. Mpaka sasa week Jana natoka Moscow kulikuwa Na hali Ya sintofahamu juu Ya majenerali wanaokufa vitani,
Putin amepangua walinzi wake mara nne tokea vita imeanza, kutokana na kuhofia Usalama wake ,
2. Kuna Uhaba wa Bidhaa katika supermarkts na zimebaki zilizokaribia kuisha Muda wa matumizi,
3.mpaka tarehe 24/03/2022 warusi 1200 walikuwa wakipinga na kuandamana kukataa vita wamefungwa magerezani na watakuwa na kesi za kujibu

4. Wanajeshi wanaokufa ni wengi sana wa Urusi takriban wanajeshi 7000 wameuwawa kwa namba sahihi, Hii ni kwasababu wengi wao hawakuwa tayari na vita hii hawakupenda,

Ukawa mzozo mkubwa wa warusi kutengwa na Dunia

Waliosafiri Au waliobahatika Kusafiri wanaelewa hapa nikisema,

-Visa card yako haifanyi kazi,
-Hutaweza kulipa Au kulipwa na wadeni wako kwakuwa benki yako Iko disconnect
-hutapata visa Kwenda sehemu kadhaa Duniani hata Kama una maslahi huko
-Majumba Au mali ulizonazo zinawekwa rehani

Hayo ndo wanapitia warusi..

Suala la kutengwa Duniani kuhusu Biashara limemuumiza sana Urusi

1.Kuna nchi ambazo zilitaka kuonekana Neutral Kama India Lakin hakuna wakubishana na Dunia akaweza,

Natoa mfano tu

India na Marekani na Kwanini India hawezi poteza uchumi wake eti Kisa Ushikaji na Urusi

Watu wanadhani India ana uwezo wa kutenda Kunyume na USA.
Hebu tuangalie hapa.
Biashara kati ya India na Russia ni US$ 8 billion,
Kati ya hizo, india anaingiza US$ 2.6 wakati Russia anaingiza US$ 5.48 billion.

Biashara kati India na US ni US$ 113.391
Kati ya hizo, India anaingiza US$ 73 billion, wakati US wanaingiza over US$ 40 billion.

Yaani India abomoe uchumi wake kwa ajili ya Russia.
Kati the world largest trading partners 20 wa India duniani, Russia hayupo kabisa, halafu mnamuamini India akisema yeye hapangiwi cha kufanya...mnataka afee?.

Kabla ya kushabikia au kuyaamini maneno au taarifa zinazichapishwa. Huwa ninawafundisha watu kuwa siku zote kabla ya kuelezea maoni yao, au kuamua ku side na jambo, basi wawe wanaenda na facts zao, hata kama mhusika ndiyo anaongea, wewe just deal with the facts, the numbers, the data

Hivi India kujifaragua kwamba atanunua mafuta ya Urusi ni ya Muda tu!

Watu huwa wanaamini kuwa China na Marekani ni maadui. Siku zote nimekua nikisema China kamwe si aduiwa US. Wametuaminisha hivyo ila mimi nimegoma kuliamini hilo. Hao ni greatest partners na wanategemeana in so many ways baada ya US kuhamishia kule technolojia zake na viwanda vyake vingi kwa lengo la kupata cheap labours na masoko ambayo US asingeweza kukubalika.

Kwa kufanya hivyo aliondoa influence ya Russia kwa China. Mahusiano ya Russia na China yapo masikioni na kwa maneno zaidi, wakati mahusiano kati ya China na US ni ya dhahiri ingawa watu hawaoni, sababu ni ya kimkakati na kujizatiti zaidi. Hata ukiangalia among the Chinese wenyewe, wananchi wana prefer kuwa karibu zaidi na USA kuliko Russia.

Mwaka 2020 kulikua na Chinese 3.70+ milion wanaoishi USA, Wakati wachina waliokua wakiishi Russia mpaka mwaka 2021 walikua ni 39,000+ tu. Mind China na Russia anayesemekana kuwa greatest partner ni majirani wanao share border[emoji28], inazidiwa hata na Japan ambaye ni taifa hasimu la Jadi la China lakini ndani ya Japan kuna Wachina 770,000+.

Hata Mongolia kuna Wachina wengi kuliko Russia, Mongolia kuna Wachina takribani 1.3 milion.
Hilo litakupa mwanga wa kujua kama kweli ni adui US na China ni maadui au laah.

Katika list ya Major trading Partner wa China Duniani, Marekani ni namba moja, halafu kuna European Eunion then kuna South Korea na Japan, wote hao ukiwataja unamtaja Marekani. US ndiye kampa mchongo China wa masoko hayo, ndiye aliyempa teknology, mitaji na viwanda na ndiye aliyewaambia jao wampokee.

Hata ukija kwenye mahusiano ya kijeshi, miongoni mwa partners watatu bora wa China, US ni mmoja wapo[emoji28][emoji28], ndiye anayempa technolojia za vifaa vya kijeshi na kubadilishana taarifa za kimafunzo na kimbinu...bado ni maadui kweli hao[emoji28][emoji28]?

Uadui wa China na Marekani ni wa kutengenezwa tu.

USA siyo fala, hafanyi hizo investment ili kujiua, bali anajizatiti. They are there to stay, wamemtengeneza China ili kutoa sehemu ya wasiompenda kwenda ku ventilate ili wasije wakavimba wakapasuka wakakufa.

USA anawapenda sana[emoji28][emoji28] mpaka anajitengenezea adui mdori ili tu watu wafurahi[emoji28].

US anajua hapendwi na interests zake zinawindwa kote duniani, hivyo basi, kupitia mitaji, viwanda, technology etc alizompatia China anakua amezipaka rangi na logo ya China biashara na products zake ma hivyo kuweza kuuza Russia , Iran na sehemu zote ambazo mmarekani hakubaliki, amnako wanamuona China kama mkimbozi na mbadala wa Marekani. Wasilolijua ni kuwa US anamtumia China.

UN kwenye mzozo wa Ukraine wamepiga kura ya kuweka azimio la kuitenga Russia kuhusiana na kitendo chake cha kuivamia Ukraine, nchi 141 ziliunga mkono azimio hilo, nchi 35 hazijupiga kura kati ya nchi zilizopiga kura, nchi tano zilipiga kura kupinga hilo azimio na hovyo kuiunga mkono Russia, nchi hizo ni Russia yenyewe, Belarus, Syria, Eritrea and North Korea._* China ambaye anasemekana ndiye adui namba moja wa US na rafiki wa damu wa Russia hayupo hapo[emoji28][emoji28].

Watu wanatumia elimu zao, kufanya future predictions, innovations, management, productions, strategising and so so.. aisee, sisi ndiyo kwanza tunatumia vikao bungeni kuponda elimu na kuifubaza, pambavu zetu sisi.

Hivo China Kama ni mshkaji wa Russia asinge sita

Kuhusu kulipa Kwa Ruble Mafuta ya Urusi

Tukubali Urusi alikuwa Namba one kuuza Ulaya mafuta na gesi haina Ubishi ila kumbuka mwenye Reserve kubwa ya Mafuta Duniani ni Venezuela, na Iran Yuko miongoni mwa wenye reserves kubwa

Ally wa US Yaan UK Kalipa deni la $400M kwa IRAN na watu wake ma spy wawili wameachiwa sasa kinachofuata watamfungulia vikwazo na wanunue mafuta yake .....kuziba pengo la ya Rusia ....Marekani nae kamaliza vikwazo vya Venezuela ili akombe mafuta...

Boris wa UK alienda arabuni pamoja na kwamba mfalme kanyonga watu 81 Jumamosi Ya week kadhaa zilizopita LAKINI MAFUTA YANAFUTA DHAMBI HIYO NA LEO NAJUA MFALME ATAMWAMBIA PM KUWA HAKIKISHA CHELSEA ANAINUNUA MTOTO WA DADA YANGU...KESHAWEKA MEZANI £2.7B Sawa na $3.5B

Leo UMOJA wa Ulaya pamoja na G7 wamemwambia Urusi we can’t buy your gas by Ruble tutatumia Sarafu yetu Yaan hawataki madafu,

Italy na Spain leo wametia Saini kujenga Bomba Lao la Mafuta Kuacha kutegemea ya Urusi,

Ujerumani ambayo ilikuwa na mradi wa ujenzi wa Bomba na Urusi Kama Nordic 2 imesitishwa na pia hawatanunua gesi kwa Ruble hata Urusi wenyewe wamekubali,

Kuna Suala la Sarafu ya Ruble kupanda ni Kwa Muda tu Kwakuwa impact on currency changes have some factors moja ikiwa pegging Kama aliyo Fanya Urusi but won’t be in long run , ni kwakuwa wanunuzi wanatafta ufumbuzi wa mbadala

UPDATES

Kabla ya Mkutano wa Leo Rais Putin ameagiza Mtaalamu wa masuala ya the surgical treatment of oncological diseases," kumuondolea hofu dhidi ya Mambo kadhaa baada ya Afya yake kuwa na mzozo Kwa siku mbili mfululizo

Kyv independence na litivino wamereport hivo,

View attachment 2171628

Kuna mkutano wa maridhiano utaendelea punde kutoka pande mbili za Urusi na Ukraine,

Tokea awali Mkutano ulikuwa na mapendekezo haya kabla huko ulipofanyika Belarus

Kwanza PUTIN alikuwa kapendekeza Mkutano ufanyike Belarus kabisa, Zelensky akakataa maana anajua warusi ni mafia wa kuwekea watu Sumu , hata Roman juzi wamemuwekea,

Zelensky alisema siwezi enda kwa rafiki wa adui yangu hivo Mkutano ifanyike mpakani, Putin akakataa akampigia waziri Mkuu wa ISRAEL maana Warusi na Wa Ukraine wana muingiliano na wayahudi ndo maana wakaona ISRAEL anaweza facilitate Mazungumzo Hayo,

PM wa ISRAEL akasema basi wafnyie mpakani,

Mapendekezo ya Urusi yakawa

1. Zelensky aendelee kuwa Rais ila Yule Rais alopinduliwa mwaka 2014 Kwa maandamano akakimbilia Urusi awe waziri Mkuu ili kuleta hoja ya denazification!

2. Ukraine asijiunge NATO, EU wala asiwe na mahusiano ya Marekani

3. Urusi walisema watalipa fidia Zote kwa Ukraine,
4.Watambue DONBAS yaan Luhansk na Donestk Kama majimbo huru,

MAJIBU YA UKRAINE

1. Haitawezekana kupangiwa nani awe waziri Mkuu Kwa nchi yake

2. Suala la kutojiunga na EU halitawekaza na watajiunga ila Kwa NATO hapo watafikiria ili kulinda Neutrality

3. Kuhusu Donbas hawatakubali Ku acha hata inch moja ya mji kuchukuliwa,

KIKAO CHA UTURUKI URUSI WAKALEGEZA MASHARTI

1.Urusi ilisema in mutual trust wamesimamisha mapigano huko kuelekea Kiev, na maeneo mengine

2. Urusi wakasema Wanakubali UKRAINE ajiunge EU kuhusu NATO hapo hapana maana Kama UKRAINE atajiunga na NATO basi yake majimbo ya Donbas, Luhansk na Mauripol yajitawale kwakuwa yako mpakani kabisa,

3.Pia URUSI ILISEMA YUKO TAYARI KUKUBALI MSIMAMO WA UKRAINE JUU YA DONETSK, DONBAS, LUHANSK, ila CRIMEA HIYO HAPANA MAANA ISHAJITENGA NA UKRIANE SINCE 2014

4. Wazo la Kuijenga Ukraine , Ukraine wenyewe wamesema wana 35biln $ Kwa ajili ya Shughuli hiyo na wanazo tiyari watajenga wenyewe nadhani Hii ni michango ya Marekani na wengine,

UPDATES ZA SASA

KWA WASIOELEKWA GEOGRAFIE YA KYIV IMEZUNGUKWA NA IRIPIN NA BUCHA ndo Mlandizi na Msata Za mji wa Kyiv huko waJeshi wa Urusi walikuwa wameshapafikia Lakin wakazungukwa na majeshi ya UKRAINE na kuteka maeneo walipo ,

kwasasa kwenye Ramani hii ya satellite ya dakika nne zilizopita inaonesha majeshi ya Urusi Yameondoka Kwa wingi maeneo ya Iripin na Bucha baada ya kupata Upinzani mkubwa kutoka Kwa majeshi ya UKRAINE
Hii ni Ramani inayoonesha maeneo yaliyo kombolewa
Leo ni (blue) na jana (yellow).

Pia eneo la Chernihiv limekombolewa Rasmi.

View attachment 2171695

LEO 2/4/2022. CHERNOBYL UPDATES

BAADA YA NUCLEAR PLANT KUWA CHINI YA WARUSI KWA SIKU KADHAA NINI HADA KIMEENDELEA

1.Kwanz waliwalazimisha wafanyakazi wa Chernobyl kufanya kazi usiku na mchana isionekane wamekishika wakashindwa kukiendesha, na lengo la Urusi walitaka kuhadaa dunia kwamba lengo Lao si baya huku wakifanya kinyume , Mwandishi wa habari wa USA anaitwa Sarah Mor amefika hapo na kueleza hayo baada ya kuzuiliwa Kwa Muda neef kufika

Usiku wa kuamkia 29 kulionekana kuna leakage ya mionzi ya Urani (uranium) ikaonesha dalili zile zile za Mwaka 1986 kilipolipuka na kusababisha madhara, wakawa wanaanza kuona madhara kwenye Miili yao na wengine wakaacha kuona kwa mujibu wa mtaalamu wa mionzi Radiologist Medved akawashauri waache eneo huko liendeshwe na Wataalamu maana wanajeshi hao si wataalamu wakakaidi ila walivyoanza kupata madhara ndo wakaanza kuondoka wakiwa wanatelekezana pale

Leo hii tarehe 2 Bendera ya UKRAINE imepandishwa Rasmi

Ntaendelea Uzi usiungwe kwingine plz……
Twende kazi...,

Kwanza kabisa umedai kuwa wewe ni muumini mkubwa wa facts kiasi cha kutuasa tusitegemee tu tunayoambiwa bali tutizame zaidi 'facts' kabla ya kuchukua maoni ya kukubali au kupinga upnde fulani. Lakini ndani ya bandiko lako umejaza madai (bila 'proofs) mengi, maoni, utabiri, 'accusations', mahaba, na hata pale ulipotoa vyanzo kuhusu baadhi ya taarifa zako kwenye uchambuzi wako huu umetumia vyanzo vyenye uwalakini na upendeleo wa upande fulani (Ukraine & West) kwa makusudi ukiwa unajua mt. Kutoa taarifa ya kutiliwa mshaka hali ya kiafya ya Putin kutoka Kyiev Independent!!!

Kadri tunavyozidi kwenda mbele tutakuonesha jinsi ulivyokosa uadilifu kwenye uchambuzi wako. Alafu kuna shida hapa. A fallacy of appealing to authority. I.e. Just because i do have a PhD in mechanical engineering it doesn't mean everything I say about mechanical engineering is true! Kuwepo Moscow au kuishi Moscow hakufanyi yale (yote) unayoyasema kuhusu Moscow kuwa ndio ya kweli zaidi.

1. Ijapokuwa haujaonesha kwa vyanzo vya uhakika zaidi i.e. MoD of RF idadi kamili na rank za hao majenerali waliouawa vitani Ukraine lakini kushinda/kupoteza kwenye uwanja wa medani hakupimwi kwa idadi ya mejenerali waliouawa bali kwa malengo ya vita kufikiwa/kutofikiwa. Na wauawe majenerali wote kama malengo ya vita/Operation yamefikiwa ni ushindi. Kuna taarifa zilotoka mwanzoni kuhusu kuuawa kwa majenerali kadhaa wa RAF lkn baadae wameonekana wakiwa wazima kwa nyakati tofauti.

2. Kuisha kwa vitu supermarket pia sio namna ya kuonesha/kuthibitisha ushindi vitani. Na juzi tuliona juzi mahojiano ya DW swahili na mtanzania anayeishi Moscow na alichokisema kuhjsu athari za vita hapo Moscow ni tofauti na ulichokisema hapa. Unataka kusema DW walituongopea kwenye yale mahojiano!? Watu 1200 kwenye taifa la watu 140+m ni asilimia ngapi!? Kama watu 1200 tu ndio wanaopinga operation ya kijeshi ya nchi yao Ukr ni dhahiri watu waliobaki 99.9% wameridhia operation hiyo au simply they don't care. Either way hiyo namba ni tone kwenye bahari. Hata wakti USA wanavamia Iraq wapo wamarekani waliopinga. FYI baada ya kutangazwa kwa Op hiyo asilimia za viwango vya kukubalika kwa Putin vimepanda kutoka 60% mpk 80% sasa hivi, unapata picha najribu kusema nini!?
Wanajeshi zaidi ya 7000 wa Urusi wameuawa na ukasema hiyo ndio namba sahihi! Kwa mujibu wa nani!? Au wewe ndio ulikuwa unahesabu wanajeshi wa Urusi waliokuwa wanadondoka vitani!? Vyanzo kutoka UKr vinasema ni zaidi ya 15000, Urusi kupitia MoD wamesema ni wanajeshi wao 1300 tu waliouawa. Sasa Hao 7000 wewe umetoa wapi!? Hata kama UKr na Urusi hawawezi kuaminika kuhusu taarifa za casualties sio sasa ndio mtu ujitungie tu, eti 7000 Loh!

3. India & China
Kwanza Russia hawahitaji hao wawe upande wake ili ashinde vita dhidi ya UKr. Lakini Wakiwa neutral (kama walivyo sasa hivi) ni faida sana kwa Urusi. Umekuja na data za biashara baina ya mataifa hayo na marekani lakini umesahau kwamba biashara kubwa baina ya Russia na hizo nchi ni energy. Laiti kama hao wawili wangesusua energy za Russia ingekuwa na impact kubwa sana kwake na West/US walitaka wazisusie (ref statment ya jen Psaki) lkn imeshindikana. India bado anaendelea kununua mafuta ya urusi na China pia gesi.

India
Ukiachilia mbali faida wanayopata kwa US fuatilia na faida wanayoipata kwa urusi. Trade partnership sio kila kitu. India anategemea 85% ya oil yake frm imports na uchumi wake utakuwa katika hali ngumu endapo bei (ya crude oil) itabaki juu ya 80Usd na ndio maana wameagiza zaidi ya mapip milioni 5 kutoka Urusi kwa bei rahisi. Pengine kukosekana kwa Mafuta au mafuta kupanda kutakuwa na impact kwenye hiyo biashara anayofanya na USA. Pia India anamuhutaji Urusi kama mshirika wake security/kijeshi as New delhi relies heavily to Moscow on arms and ammunition dhidi ya mahasimu wake kwenye mipaka, China na Pakistani. Kumbuka US anatoa msaada wa kijeshi mkubwa sana kwa pakistani. Kama India atachagua trade partner (US) wke au security ally (Russia) wanajua wenyewe, usiwatabirie.
Ila Mpaka sasa India ameact in favour of Moscow a. Anaendelea kununua mafuta ya Urusi na hajamuwekea vikwazo b. Hajalaani uvamizi wa Urusi UKr c. Hajapiga kura dhidi ya Urusi UN (abstain).

China
Kusema China na america sio mahasimu ni kichekesho unless utuoneshe kivipi hasa na sio kwa conspiracy theory-like arguments kama ulizotoa. Ni ngumu kuamini kwa position ya US kwenye suala la Taiwan na Hong kong eti awe rafiki na China. kwenye list ya allies ya Us, China ipo!?? Njoo kwenye suala la Corona, Huawei, TikTok, biolabs za US huko UKr etc. Umeziona kauli za msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China? huo urafiki wa china na US unaupatia wapi!? China na US ni washirika wa kibiashara nothing more. Na kila mtu anamhitaji mwenzie sio kwamba China ndio anamhutaji zaidi US. Unaposema US kaitengeneza china nakushangaa hata kama So what!? Mbona yeye US alitengenezwa na Uingereza!? Kama China ataichagua US au Urusi, wanajua wenyewe usiwatabirie. Ila mpma sasa China wameact in favour of Moscow a. Anaendelea kununua bidhaa za urusi kama gesi b. Hajaungana na West kwenye vikwazo dhidi ya Urusi c. Ana msimamo unaofanana na wa Urusi kuhusu biolabs za Us zilizopo UKr d. Hajalaani uvamizi wa Urusi Ukr kwanza amesema US/NATO ndio chanzo e. Hajapiga kura dhidi ya urusi UN. hayo yote kayafanya akiwa anajua kuwa biashara kubwa sana ya dola b330+ na US inaweza kuwa at stake.

Kuhusu ulipaji wa gesi by ruble tutakuja hapa by the end of the month tukiwa na update zaidi kwa sababu malipo ya gesi yanakuwa dues aftr one month.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
britanicca siku nyingine ukipandisha Uzi kama huu usisahau kunitag...
Hongera Sana Kwa mada zako zenye Akili Sisi wachache tunaokujua Toka miaka mingi hapa jamiiforum hatuna mashaka na mada zako
 
Back
Top Bottom