Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

Zelensky ni shujaa wa kimataifa. Ameikomboa Ukraine dhidi ya wavamizi wa Urusi.

Hii vita ilikuwa isiwepo kabisa kwa huyu Zelensky kusema tu kuwa Ukraine haitajiunga na NATO. Badala yake huku akidanganywa na Marekani, akang'ang'ana na maombi ya kujiunga na NATO huku akiikaribisha Urusi imvamie.

Lakini baada ya nchi kugeuzwa magofu, ndipo anakuja anasema kuwa Ukraine haitakaa ijiunge na NATO na itaachia baadhi ya maeneo ya nchi yaende Urusi.

Huyu jamaa anastahili tuzo ya Nobel.



NI HATARI SANA NCHI YOYOTE KUONGOZWA NA COMEDIAN
 
Ukienda facebook kwa yericko nyerere kashapoteza legacy yake kisa urusi ,haaminiki tena watu wanamponda balaa,alikuwa anajiita mtetea uhuru kumbe wapi sijui kisa alisoma urusi
Nawengi wanaogopa kuusema ukweli sababu yakukhofu kupoteza hio inayoitwa legacy
Yericko Nyerere kasema ukweli hatapoteza legacy yeyote na hata kama itapotea kwasababu yaukweli alosema sio mbaya
 
Sasa na hiyo haraka haraka yako unaenda wapi.... haya kunyume cha usemacho kwa polepole ameshinda Urusi
 
Umeshindwa updates sasa kuna habari nyingi mpya zikiwemo new sunctions baada ya Bucha lakini hujaweka hapa
 
Powa Mkuu unajua Majukumu yananibanaga but now niko Free
Mimi nitafurahi ukiandaa uzi namna vijana wa Kitanzania wanaweza kujipanga na kazi ya kuijenga upya Ukraine.

Ninaamini kazi za ujenzi zitakuwa nyingi issue hapa ni serikali kuweza kufanya loobing ya watu wake lakini inasikitisha sana Serikali ya Tanzania kutosimama upande wa haki ambao ni Ukraine tumekalia unafki wa kuwa neutral.

Usisahau kunitag nyuzi zako zijazo, uzi huu umenishibisha.
 
Urusi inahitaji ishindwe vibaya sana na iadhibiwe vikali kwa mauaji, ubakaji na uharibifu ilioufanya Ukraine
 
Russia inapigana vita na nchi moja tu ya Ukraine. Ni uongo mtupu kusema inapambana na nchi 30, NATO haipambani na Russia, NATO ikiingia kupambana na Rusia itakuwa ni vita vya tatu vya dunia na vitakuwa vya nyuklia.
RUSSIA kapoteza kwamba wewe uko uwanja wa vita(UKRAINE) ukishuhudia RUSSIA akipambana na nchi zaidi ya 30(NATO) huku akiwa na vikwazo vya kiuchumi au unaleta matokeo ukiwa kwenye sofa nyumbani kwako ukishushia kinywaji baridi taratiiibu [emoji848]
 
Haya madini unakuta Mods wanapatwa na wivu wanaamua kuuficha uzi. Ni watu wa hovyo sana. Huu uzi ulipaswa ujitegemee...nlikuwa nawakubali sana warusi before ila nmekuja kugundua hamna kitu.
 
Ok okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…