Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Dah! Nakusikitikia sana mtoa mada, Leo nahisi utolala kwa raha kwa iufikilia ile mvua ya magoli mtakayovurumishiwa na Ubelgiji, leo ni muda wa lukaku kulingana kimagoli na harry kane the great.
Mcheki kule kwenye ma-likes! Hope utampata, ha ha ha.Kichwa umepotea sana
Ha ha ha ha ha ha ha, sio wewe ndio unipe yako mzee!!!Ah ah ah ah iyo ela yako nipe tuuuu
uzi Unaunganishwa Vipi? Kwamba Unahamishwa Au Niaje ?Uzi lazima uunganishwe tu
Umeonaeee.Haa haa haa haa leo team
Brazil mko na pressure kuliko hata
Walioko ICU
Hahaaaa. Dadaaaa.Kila la heri Brazil mbebez wangu Neymar nakutegemea sana
Ewaaaaaa. Hachomoki BrazilTimu belgium hapa.
baada ya kushuudia mwisho wa ronaldo na messi, sasa leo tunaenda kuuona mwisho wa neymar kwenye michuano hii.
uzi Unaunganishwa Vipi? Kwamba Unahamishwa Au Niaje ?
Hahahaaa. Kuumbe. Mie nasema mtapata tabu sana narudia tabu sana.Mimi naomba tu niseme mapema hapa kuwa leo ndio mwisho wa Belgium.
Nikimuona Thiago Sliver. Pale nyuma sioni ni kwa namna gani Lukaku ataweza kutamba.
Nikimuona Casimiro kule kulia, sijui huyu hazard atapitia wapi.
Nikimuona Marcelo kule kushoto hapo napata tabu kujua huyu De bruyne atapitaje.
Company atakuwa na kibarua kizito sana cha kumzuia Neymar, wakati huo huo Vetolngen itabidi afanye kazi ya ziada kucheza na Willian la sivyo hapatatosha.
Huyu Paulinpho pale katikati sijui atakabika vipi wakati huo huo Fernandinpho akisumbua sana pale mbele.
Huku kushoto ndio kuna balaa lingine kabisaa la Cottinpho doh!
Leo Belgium watapata taabu saana.
Narudia tena watapata taabu saanaa..
Hahaaaa. Dadaaaa.
Sijui kama mtachomoka leo. Ila tusubiri tuone.
Hahahaaa. Nimecheka jamaani lol.Tutachomoka ndugu yangu msianze magundu jamani huku tuna mikeka yetu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni swala la muda tu
Brazil kuna Coutihno,Wilian,Neymar,kule mastaa ni wengiEwaaaaaa. Hachomoki Brazil