Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
magu asingethubutuIla nimefurahia fair play ya mashabiki rasmi (Rais wa Croatia na Waziri Mkuu wa Russia), kila mmoja kampongeza mwenzake kila timu ilipopata goli. Wameonyesha uanamichezo wa hali ya juu. FIFA iwape zawadi kwa hili kama spirit hii itaendelea mpaka mwisho wa mchezo.
Upo vizuri mkuuHadi sasa bet yangu iko.
16 bora nimelose game 2, nimewin game 6.
Robo fainal nimewin game zote.
Nusu fainali..???
Hatugombani lakiniEngland kama Leicester tu...kama atashinda na kuingia fainal itakuwa kwa bahati.....Belgium na France ni 50% kwa 50% yeyote anaweza kufungwa tu.
🙂🙂Pamoja mkuu.Belgium atamchapa France, Croatia atampiga England. Fainali:- Belgium vs Croatia
Bingwa Belgium.
Mfumo waliyocheza jana ubelgiji kama sikosei ni 5-3-2 mbele alikuwa hazard na lukaku. Nyuma na kati walikuwa wengi plus Brazil hakuwa na kiungo wakaitumia hiyo advantage. Angalia kipindi cha kwanza game ilivyokuwa na kipindi cha pili, mchezo ulibadilika kabisa baada ya Brazil kufanya substitution ya Costa, Augasto na Ferminho. Costa winger mzuri sana anayejua kuuficha mpira na mwenye kasi, hiyo ikamlazimu courtinho kuwa namba 8 neymar kuwa 10, Costa 7. Sasa nini kilichofuata, mpira ulibadilika.we jamaa bhana, ok me nnachojua kila mechi ina mipango yake kazi kubwa ya kocha kuangalia nguvu na udhaifu wa mpinzani wake kwahiyo kila mechi inakuwa na approach yake, mfano mzuri game ya Brazil Na Belgium, Wabelgiji Jana walienda kuzuia na kufanya mashambuliz ya kushtukiza yan counter attacks na kweli ikawalipa
let's wait and see
Modric na lactic hahahaha England mtapata tabu sana tena sana. Andaa sala ya mazishi kabisa.Atakachokifanya England jumatano watu watakimbiana humu, zitabaki stori England kaingia fainali kwa kucheza na timu nyepesi nyepesi (Wakati leo watu wanasema England hachomoki kwa Croatia, England atagota kwa Croatia)
Croatia mafundi sana, sema wamechoshwa na dakika 120 za leo! England watakuwa na nguvu za ziada maana hawakuchoka sana. Hata hivyo nawapa heko Croatia. Nitafurahi wakishinda.France vs Belgium apo France out, ukija England vs Croatia apo England baba jeni bai bai, final Belgium vs Croatia na apo ndo Belgium anachukua ndoo mwaka uhuu.Sitaki ubishi time will tell
Hivi anapimwaga kweli !? Yawezekana anapiga kitu cha Malawi kabla ya kuingia mechi! Utachezaje kwa kasi yote ile kwa dakika 120 !?Modric
Yaaani wamenifurahisha sana,Hivi anapimwaga kweli !? Yawezekana anapiga kitu cha Malawi kabla ya kuingia mechi! Utachezaje kwa kasi yote ile kwa dakika 120 !?
Labda kante asicheze siku hiyo mnajua shughuli yake huyu jamaa huyu ndio anaeichezesha timu beki,kiungo,mshambuliaji piaFrance vs Belgium apo France out, ukija England vs Croatia apo England baba jeni bai bai, final Belgium vs Croatia na apo ndo Belgium anachukua ndoo mwaka uhuu.Sitaki ubishi time will tell
Unasaliti Avatar, Nao maneno Russia na FSB humo...sasa hiyo emoji! inaleta shida.Zagreb se pripremi. Bruxelles se prépare. [emoji111] [emoji111] [emoji111]