Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
magu asingethubutuIla nimefurahia fair play ya mashabiki rasmi (Rais wa Croatia na Waziri Mkuu wa Russia), kila mmoja kampongeza mwenzake kila timu ilipopata goli. Wameonyesha uanamichezo wa hali ya juu. FIFA iwape zawadi kwa hili kama spirit hii itaendelea mpaka mwisho wa mchezo.