Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Croatia wanaume, wamepitia hii toka raundi ya mtoano. Mara tatu na leo itakuwa ya nne.
VAR puuzi sana.
 
UFARANSA leo anategemea sana counter ndio maana kacheza mpira mbovu, ila kipindi cha pili wabadilike kwani kante ana njano na kati ufaransa wamezidiwa, inaweza ikasababisha kante akala redi, ila ninachofurahi ni fainali nzuri na sikutegemea Croatia wangecheza vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…