Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
Ahadi ni deni tuandalie mafungu mafungu uliyo tuahidi mkuu!!!Croatia akichukua kombe nakunya mafungu mafungu mpak magogoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahadi ni deni tuandalie mafungu mafungu uliyo tuahidi mkuu!!!Croatia akichukua kombe nakunya mafungu mafungu mpak magogoni
Huu nauita ushabiki niue...Mpaka hapa France anabebwa, huwezi kutoa penalt ya kijinga kwenye game kama hii
Kwani sh ngapi nikurushie hizo GB[emoji3] [emoji3] [emoji3]numbisa utanimalizia GB zangu ujuee,,
sifungui huu uzi tena [emoji23] [emoji23] [emoji102] [emoji102]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HayaaaAt least you have a shoulder to cry on, thank me later.
We kweli baba swalehe simba na azam wewe unaulizia Yang@??yanga anaongoza ngap huko wakuu
aiseee nirushi tu [emoji23]Kwani sh ngapi nikurushie hizo GB[emoji3] [emoji3] [emoji3]
France akimudu 20 mints from now basi atatwaa hii ndoo.Croatia wanaume, wamepitia hii toka raundi ya mtoano. Mara tatu na leo itakuwa ya nne.
VAR puuzi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na hizo ni dakka 45 tu mzee baba...Friction ya kutosha..France wasipopata goli la tatu mapema gololi zangu hazitapona. maana hata HT nimeziminya.
Upo France au CroatiaLipi hilo kamanda
Hii sio intentional hata kidogo, kuna mtu mbele, aliuonaje mpira?? Hovyo kabisa var!