Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Croatia wanaume, wamepitia hii toka raundi ya mtoano. Mara tatu na leo itakuwa ya nne.
VAR puuzi sana.
 
UFARANSA leo anategemea sana counter ndio maana kacheza mpira mbovu, ila kipindi cha pili wabadilike kwani kante ana njano na kati ufaransa wamezidiwa, inaweza ikasababisha kante akala redi, ila ninachofurahi ni fainali nzuri na sikutegemea Croatia wangecheza vizuri.
 
Mkuu cheki vizuri hapa aliushika
1531669260467.gif

Hii sio intentional hata kidogo, kuna mtu mbele, aliuonaje mpira?? Hovyo kabisa var!
 
Back
Top Bottom