Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Post yangu ya kwanza JF baada ya mwaka mmoja kupita!
I miss everything... especially marafiki zangu vipenzi na huku mpirani hahaaaaa.

Anyways,baada ya kipenzi changu Cr7 kutoka jana imebidi nichepuke kwa France na Croatia.
Hello JF [emoji1423]
Mwanajangwani tumekumis
 

Aigoooooo,hello hyungnyim
Huyu dogo jana kanikosha sana,naona anafuata nyendo za shujaa wake sio kwa mbio zile za jana.

Ila jamani jana Cr7 angefanya nini? Bernado jana kaniudhi kidogo nivunje TV! Yeye ndiye aliyetunyima ushindi jana.
 

Mkeka wangu huu ngoja nione kama utachanika tena kipande kingine.

Kati hizi lazima ipo itachukua ndoo
 
Jana japo nilikuwa Portugal ila alipofungwa nilifurahi sana.

Leo pia japo nipo Spain akifungwa napo poa tu, maana nimeipa Belgium kipaumbele kwenye hii ndoo
belgium nawapenda sana ila kocha martinez anazingua kutokumpa nafasi dembele ya kuanza kikosi cha kwanza.
kama eneo la midfield atamtumia witesel na dembele na baadae de bruyne akamsogeza namba 10 timu itakuwa na balance kubwa sana kwenye eneo la ushambuliaji na ulinzi ila nashindwa kuelewa kwa nini anamtumia eden hazard kama namba 10.
axel witsel + moussa dembele + kelvin debruyne
hii ni combination inayotishia usalama kuliko haja kubwa ya supreme commander kim jong un alichoamua kurudi nacho korea kaskazini.
robert martinez ajitathmini.

 
Huo mfumo wake kashaharibu game yoyote?? Kama sio basi he is doing well so far
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…