Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipi hapa mkuuTeam Belgium wenzangu..team hazard tujuane mapema
Mwanajangwani tumekumisPost yangu ya kwanza JF baada ya mwaka mmoja kupita!
I miss everything... especially marafiki zangu vipenzi na huku mpirani hahaaaaa.
Anyways,baada ya kipenzi changu Cr7 kutoka jana imebidi nichepuke kwa France na Croatia.
Hello JF [emoji1423]
Tupo pamoja kiongoziNipi hapa mkuu
UsinisahauuNipi hapa mkuu
Tusubiri mtanangeMimi naona ni 3-0 mkuu
Wakijitahidi sana 4-1.
licha ya umri wake kuwa ni mdogo uongozi wa monaco walimuamini na kumpa nafasi leo hii anazungumzwa zaidi yeye kuliko shujaa wake wa kila siku ambaye jana mpaka dakika 90 zinamaliza amepiga shoot target mbili.
ukiangalia hiki chumba chake kinaonyesha dhahiri uhalisia wa maisha aliyopitia, huku kwetu kuna watu walikutana na hali ngumu na baadae wakapata nafasi ya kutengeneza maisha yao ila mwisho wa siku waliamua kurudi nyumbani eti kwa sababu atakosa kupiga stori na rafiki yake kipenzi athuman iddi chuji.
![]()
![]()
Hahahahaa acha dharau mkuuHili ndio kombe pekee England anaweza chukuaView attachment 800100
belgium nawapenda sana ila kocha martinez anazingua kutokumpa nafasi dembele ya kuanza kikosi cha kwanza.Jana japo nilikuwa Portugal ila alipofungwa nilifurahi sana.
Leo pia japo nipo Spain akifungwa napo poa tu, maana nimeipa Belgium kipaumbele kwenye hii ndoo
cameroon ndio asili ya anakotokea mbappeNi mzaliwa wa wapi?
Huo mfumo wake kashaharibu game yoyote?? Kama sio basi he is doing well so farbelgium nawapenda sana ila kocha martinez anazingua kutokumpa nafasi dembele ya kuanza kikosi cha kwanza.
kama eneo la midfield atamtumia witesel na dembele na baadae de bruyne akamsogeza namba 10 timu itakuwa na balance kubwa sana kwenye eneo la ushambuliaji na ulinzi ila nashindwa kuelewa kwa nini anamtumia eden hazard kama namba 10.
axel witsel + moussa dembele + kelvin debruyne
hii ni combination inayotishia usalama kuliko haja kubwa ya supreme commander kim jong un alichoamua kurudi nacho korea kaskazini.
robert martinez ajitathmini.
![]()
![]()