Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Waingereza huko bbc wako kwenye forum wakidai croatia wanamuhandle fresh kabisa, nawashangaa hawajacheza na colombia bado ila wanaona wameshapita.
Natamani wafungwe mapema zaidi.
 
Bingwa yupo nusu ya pili yaani kundi lenye uruguay, belgium, brazil, mexico na ufaransa. Si ajabu uingereza walijipanga wafungwe na ubelgiji ili wadondokee kundi la upande huu lenye colombia, croatia, spain, urusi, swiss, swiden. Kimuonekano ni njia rahisi ya kufika fainali.
 
Sasa hivi naona kama vile Kombe litaenda ama Ufaransa au Ubelgiji. Croatia na Sweden pia ziko karibukaribu. Asia, South na North America siyo strong sana kwani ushindi wao mwinge umekuwa unategema makosa ya opponent. Bet yangu kubwa ni kwa Ufaransa, kwani ile forward line yao ni kali sana ingawa defense yao ni legelege kidogo. Halafa bet yangu ya pili inakwenda Ubelgiji kwani wao wanaonekana kuwa balanced sana; pale mbele Lukaku hana mchezo na kule nyuma ndiyo hivyo tena, siyo wabababishaji kabisa. Timu za Ufaranza na Ubelgigji ni watafuta magoli siyo waonyesa ball control kama ilivyokuwa kwa timu za Ureno na Uhispania. Urusi nayo siyo ya kubeza kwani nao wana kiu ya magoli huku ulinzi wao pia ukiwa siyo legelege ila naona kama hawana ubavu wa na Ufaransa au Ubelgiji; ball control yao ni ndogo na ni rahisi sana kunyang'anywa mipira. Kwango cha Russia ni level ya Croatia na Sweden, ila control yao siyo nzuri kama ile ya Croatia na Sweden.
 
mkuu edit hii kitu
 
wasijidanganye
 
sioni mtu akizungumza kuhusu japani,Columbia, Mexico na mrusi mwenyewe watu mnatazama ukali wa kikosi na wachezaji wenye majina.

jiulize mpaka sasa timu ngapi kubwa zenye majina ziko nje...





kwenye haya mashindano lolote laweza tokea
 
Sikujua kama mgawanyiko huko hivi,Kwa namna hii nawapa nafasi Uruguay au Brazil (Ingawa Brazil hawaja onyesha cha ziada,naona kila mechi wanazidi kuimprove)

Kutoka kundi la pili lingine nafasi nawapa Sweden au Switzerland kufika fainali

Muingereza kufungwa na belgium sio mpango bali uwezo wao ndio uliishia pale.
 
Tuonane fainal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…