Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Bingwa wa maneno dhidi ya matendo a.k.a Uingereza, hachukui kombe huyu na kama wakichukua Putin atawawekea mionzi ya nyuklia lile kombe litawaathiri mdogo mdogo.Nchi yeyote ichukue hili kombe ila sio hawa waingereza.
ao wapo njia moja hawawezi kucheza fainali pamoja.Still hii Final yangu.
Uruguay [emoji1257] [emoji739] Belgium [emoji1045]
Huyu jamaa ni hatari aisee, kuna moja alizungukwa na mabeki 3 wa Japan ila aligeuka na mpira na kuupigia golini mwa Japan.Romelu Lukaku’s involvement for Belgium’s winner is world class. Didn’t touch the ball once but look at how he creates space for the first pass and sells the defender with a dummy for the second pass. My number 9. Jake. on Twitter
Usiwalaumu Ubelgiji, ile game plan ya Japan ya kukaba kila mpira na kutokuacha nafasi wakati huo huo wakiwa very comfortable on the ball ingeisumbua timu yoyote kwenye mashindano haya.Yap kwa kombe La mwaka huu ni kweli,ila huyu Ubelgiji nimeshampunguzia maksi.Mjapan kamtoa Jasho mno
Hao ndo mabingwa wc18 upende usipende na harry kane anachukua uchezaji na ufungaji bora.Nchi yeyote ichukue hili kombe ila sio hawa waingereza.
Naona bado upo ndotoni,wacha nitulie ili nisije kuharibu usingizi wako.Hao ndo mabingwa wc18 upende usipende na harry kane anachukua uchezaji na ufungaji bora.
Pole Kaka ake ndio Soka lile.Welcome to Argentain hautojutia, kuna nyota wengi wanaocheza nje tofauti na tim zingine,, wana jezi nzuri kuliko jezi yoyote ile, wana jina zuri la tim kuliko tim yeyote ile,, wana mfalme wa soccer kuwahi kutokea and a little magician Paulo Dyabala...karibu huku my ukhti!
Hapa kwa mbaali Kaka una sehemu ya kushika.Wadada wengi mnaipenda Germany 😀😀😀
Argentina moja..
Argentina
Germany
Spain
France
Belgium
Hahahaaa. Lol.Watoto wote waliozaliwa jana Japani wamepewa jina la, "Baombili hazitoshi"
Swiss ni timu bora, rekodi yao mechi za nyuma mpaka inafika hapa ni nzuri. Kundi hilo la pili wao ndio wapo juu ktk ranking za fifa.Mtazamo wangu kwa WC
1. Mexico wangeweza kuwazua Brazil. Nchi za Latin America zinajuana
Kwa bahati mbaya wacheza walikuwa na hofu wakisubiri itokee kama ilivyokuwa kwa Germany warudi kulinda goli. Walitegemea penaliti kuitoa Brazil, mbinu haikufanya kazi
2. Belgium ni timu nzuri. Kilichowatia kiwewe ni speed ya Japan wakikaribia goli
Walibadili mchezo na kwenda kasi. Japan walifanya makosa.
Kucheza na timu kama Belgium ukalinda magoli ni kukaribisha matatizo.imewagharimu
3. Uingereza wanategemea kuwafunga Colombia. Watafanya kosa kama hawatatambua Colombia inatoka Amerika kusini. Mpira wa cross unaweza kuwagharimu.
Wakifungwa moja tu, kurudisha itakuwa mbinde kama si kutoka
4. Sweden ni timu nzuri sana inategemewa kuwafunga Swiss kesho. Hili halina mjadala
Timu ninazodhani zitakazosonga mbele katika 4 bora
Uruguay , Croatia , Brazil, Sweden
Kwema kabisa kaka. Za siku ni poa pia. Usijali zimefika.
So huwapendi waingereza....Nchi yeyote ichukue hili kombe ila sio hawa waingereza.
Hawa wana mpira wa magazetini zaidi kuliko uwanjani.So huwapendi waingereza....
Haha....hii timu hadi watu wa magazeti wanapanga kikosi kinachotakiwa kianze.....kuwa kocha wa England lazima ujipange asee....Hawa wana mpira wa magazetini zaidi kuliko uwanjani.