Mtazamo wangu kwa WC
1. Mexico wangeweza kuwazua Brazil. Nchi za Latin America zinajuana
Kwa bahati mbaya wacheza walikuwa na hofu wakisubiri itokee kama ilivyokuwa kwa Germany warudi kulinda goli. Walitegemea penaliti kuitoa Brazil, mbinu haikufanya kazi
2. Belgium ni timu nzuri. Kilichowatia kiwewe ni speed ya Japan wakikaribia goli
Walibadili mchezo na kwenda kasi. Japan walifanya makosa.
Kucheza na timu kama Belgium ukalinda magoli ni kukaribisha matatizo.imewagharimu
3. Uingereza wanategemea kuwafunga Colombia. Watafanya kosa kama hawatatambua Colombia inatoka Amerika kusini. Mpira wa cross unaweza kuwagharimu.
Wakifungwa moja tu, kurudisha itakuwa mbinde kama si kutoka
4. Sweden ni timu nzuri sana inategemewa kuwafunga Swiss kesho. Hili halina mjadala
Timu ninazodhani zitakazosonga mbele katika 4 bora
Uruguay , Croatia , Brazil, Sweden