Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Romelu Lukaku’s involvement for Belgium’s winner is world class. Didn’t touch the ball once but look at how he creates space for the first pass and sells the defender with a dummy for the second pass. My number 9. Jake. on Twitter
 
Fun Fact: Marouane Fellaini has now scored more career goals (81) than Danny Welbeck (80).

The https://jamii.app/JFUserGuide
 
Romelu Lukaku’s involvement for Belgium’s winner is world class. Didn’t touch the ball once but look at how he creates space for the first pass and sells the defender with a dummy for the second pass. My number 9. Jake. on Twitter
Huyu jamaa ni hatari aisee, kuna moja alizungukwa na mabeki 3 wa Japan ila aligeuka na mpira na kuupigia golini mwa Japan.
 
Yap kwa kombe La mwaka huu ni kweli,ila huyu Ubelgiji nimeshampunguzia maksi.Mjapan kamtoa Jasho mno
Usiwalaumu Ubelgiji, ile game plan ya Japan ya kukaba kila mpira na kutokuacha nafasi wakati huo huo wakiwa very comfortable on the ball ingeisumbua timu yoyote kwenye mashindano haya.
Wali 'raise' the game kiasi ambacho Ubelgiji walishindwa kuhimili.
Game yao (Belgium) na Brazil haitakuwa ngumu kama hii, hata kama watafungwa.
 
Welcome to Argentain hautojutia, kuna nyota wengi wanaocheza nje tofauti na tim zingine,, wana jezi nzuri kuliko jezi yoyote ile, wana jina zuri la tim kuliko tim yeyote ile,, wana mfalme wa soccer kuwahi kutokea and a little magician Paulo Dyabala...karibu huku my ukhti!
Pole Kaka ake ndio Soka lile.

Haya niambie umehamia timu gani sasa?
 
Wadada wengi mnaipenda Germany 😀😀😀

Argentina moja..

Argentina
Germany
Spain
France
Belgium
Hapa kwa mbaali Kaka una sehemu ya kushika.

Sababu Farance na Belgium si timu za mchezo. Mie nilikuwa Germany ila baada ya kutolewa nimehamia Belgium na France.

Hivyo kama jana nimelala kwa raha kabisa baada ya kumzamisha Mjapan.
 
Mtazamo wangu kwa WC

1. Mexico wangeweza kuwazua Brazil. Nchi za Latin America zinajuana
Kwa bahati mbaya wacheza walikuwa na hofu wakisubiri itokee kama ilivyokuwa kwa Germany warudi kulinda goli. Walitegemea penaliti kuitoa Brazil, mbinu haikufanya kazi

2. Belgium ni timu nzuri. Kilichowatia kiwewe ni speed ya Japan wakikaribia goli
Walibadili mchezo na kwenda kasi. Japan walifanya makosa.
Kucheza na timu kama Belgium ukalinda magoli ni kukaribisha matatizo.imewagharimu

3. Uingereza wanategemea kuwafunga Colombia. Watafanya kosa kama hawatatambua Colombia inatoka Amerika kusini. Mpira wa cross unaweza kuwagharimu.
Wakifungwa moja tu, kurudisha itakuwa mbinde kama si kutoka

4. Sweden ni timu nzuri sana inategemewa kuwafunga Swiss kesho. Hili halina mjadala

Timu ninazodhani zitakazosonga mbele katika 4 bora
Uruguay , Croatia , Brazil, Sweden
Swiss ni timu bora, rekodi yao mechi za nyuma mpaka inafika hapa ni nzuri. Kundi hilo la pili wao ndio wapo juu ktk ranking za fifa.
 
Mabingwa wapya 2018

Hazard ni new mbuzi(GOAT) [emoji23]
IMG_20180703_111023_953.jpg
 
Back
Top Bottom