Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimj nikikuwa na wasiwasi nilidhani kuna mtu kaiba ID yako, niliwahi kukuuliza unatumia ID gani ya JF ili niweze kujiridhisha.
Hahahahha siku Germany ametoka nilikula bata la nguvu sio kwa raha niliyopata[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Pole sana wifi darlingNiliumiaaaaaa,sikugusa simu hadi kesho yake mchana.
Baada ya kufungwa goli 1-0 nilizima TV nikaenda kulala,nikasikia watu wanashangilia nikachungulia kwenye simu kumbe goli la pili nikaitupa kule!
Hahaha uliuliza yaan nilikuwa natamani kuuliza wewe ni Nifah kweli au unatumia I'd yake nikifikiria majibu ya kule nikawa mpole ghaflaMimi sikujali, niliuza tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tena!miye Germany siwapendiii nilifurahiii!!balaaNiliumiaaaaaa,sikugusa simu hadi kesho yake mchana.
Baada ya kufungwa goli 1-0 nilizima TV nikaenda kulala,nikasikia watu wanashangilia nikachungulia kwenye simu kumbe goli la pili nikaitupa kule!
Mimi kule nilihamia siku nyingi na ID yangu hii, hilo wazo la kujiunga na ID moja nililiona kwa watu wengine ambao niliona wapo hapa JF na kwenye Forum zingine na ID zao hizo hizo.Hahaaaaa sema na sisi tunazipenda ID zetuuuu,eti tumehamia nazo kule! [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wengine mlitisha hadi Avatar kabisaaaa!
Mbona aliitaja ID yake ya hukuHahaha uliuliza yaan nilikuwa natamani kuuliza wewe ni Nifah kweli au unatumia I'd yake nikifikiria majibu ya kule nikawa mpole ghafla
Nilimuuliza mtu anajiita humble tanzania we humble Africa au ni majina alichonijibu Mungu anajua bada ya mda mfupi kaja na thread shunie, miss natafuta, josseverest, mahondaw na smart ni IDs zake yy ni mwanaume anajifanyishaga
Kataja I'd nyingi ya kwangu ikiwepo piaMbona aliitaja ID yake ya huku
Mimi niliona ID moja tu aliyoitajaKataja I'd nyingi ya kwangu ikiwepo pia
Denmark malizeni basi mpira. Maana hawa Urusi inawasubiriHawa denmark na crotia anataka tuchelewe kulala
Mimi niliona ID moja tu aliyoitaja
Penalti zinanukieaHawa denmark na crotia anataka tuchelewe kulala
Mimi pia naona dalili za penalti kabisaPenalti zinanukiea