Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Na mimj nikikuwa na wasiwasi nilidhani kuna mtu kaiba ID yako, niliwahi kukuuliza unatumia ID gani ya JF ili niweze kujiridhisha.

Hahaaaaa sema na sisi tunazipenda ID zetuuuu,eti tumehamia nazo kule! [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wengine mlitisha hadi Avatar kabisaaaa!
 
Hahahahha siku Germany ametoka nilikula bata la nguvu sio kwa raha niliyopata[emoji40] [emoji40] [emoji40]

Niliumiaaaaaa,sikugusa simu hadi kesho yake mchana.
Baada ya kufungwa goli 1-0 nilizima TV nikaenda kulala,nikasikia watu wanashangilia nikachungulia kwenye simu kumbe goli la pili nikaitupa kule!
 
Mimi sikujali, niliuza tu
Hahaha uliuliza yaan nilikuwa natamani kuuliza wewe ni Nifah kweli au unatumia I'd yake nikifikiria majibu ya kule nikawa mpole ghafla

Nilimuuliza mtu anajiita humble tanzania we humble Africa au ni majina alichonijibu Mungu anajua bada ya mda mfupi kaja na thread shunie, miss natafuta, josseverest, mahondaw na smart ni IDs zake yy ni mwanaume anajifanyishaga
 
Niliumiaaaaaa,sikugusa simu hadi kesho yake mchana.
Baada ya kufungwa goli 1-0 nilizima TV nikaenda kulala,nikasikia watu wanashangilia nikachungulia kwenye simu kumbe goli la pili nikaitupa kule!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tena!miye Germany siwapendiii nilifurahiii!!balaa
 
Hahaaaaa sema na sisi tunazipenda ID zetuuuu,eti tumehamia nazo kule! [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wengine mlitisha hadi Avatar kabisaaaa!
Mimi kule nilihamia siku nyingi na ID yangu hii, hilo wazo la kujiunga na ID moja nililiona kwa watu wengine ambao niliona wapo hapa JF na kwenye Forum zingine na ID zao hizo hizo.
 
Hahaha uliuliza yaan nilikuwa natamani kuuliza wewe ni Nifah kweli au unatumia I'd yake nikifikiria majibu ya kule nikawa mpole ghafla

Nilimuuliza mtu anajiita humble tanzania we humble Africa au ni majina alichonijibu Mungu anajua bada ya mda mfupi kaja na thread shunie, miss natafuta, josseverest, mahondaw na smart ni IDs zake yy ni mwanaume anajifanyishaga
Mbona aliitaja ID yake ya huku
 
Hii mechi ya usiku inaonyeshwa tv gani? Kwese tv wana vingamuzi bongo?
 
Back
Top Bottom