Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
No! sijui kama unaelewa ninachosema. Kwamba, kwa timu kama Columbia iliyokuwa na kadi na mchezaji wao maarufu akiwa hayupo kwenda extra time ilikuwa uzembeKwahyo ukishinda kwenye extra time wewe ni team dhaifu??? Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi
Kwa England kuongoza hadi dakika ya 90 na kushindwa kupunguza kasi ya Columbia ni tatizo
England ilipaswa kujaza viungo ili mipira ikitua kati isipotee. Angalia chanzo cha goli la Columbia
Timu inapoongoza katika dk 90 kuna njia nyingi za kutawala. Kwanza ku slow down mchezo kwa pasi na kutanua uwanja. Au, kujaza viungo ili kumiliki mpira na mwisho kuweka pressure ili kuzuia beki wa upinzani kupanda. England hawakufanya hata moja kati ya hayo.
Tuliona udhaifu huo na ndiyo maana wengine tukasema ngoma bado hadi kipenga cha mwisho. Haikuchukua dk 5 ngoma ikaenda draw