Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kwahyo ukishinda kwenye extra time wewe ni team dhaifu??? Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi
No! sijui kama unaelewa ninachosema. Kwamba, kwa timu kama Columbia iliyokuwa na kadi na mchezaji wao maarufu akiwa hayupo kwenda extra time ilikuwa uzembe

Kwa England kuongoza hadi dakika ya 90 na kushindwa kupunguza kasi ya Columbia ni tatizo
England ilipaswa kujaza viungo ili mipira ikitua kati isipotee. Angalia chanzo cha goli la Columbia

Timu inapoongoza katika dk 90 kuna njia nyingi za kutawala. Kwanza ku slow down mchezo kwa pasi na kutanua uwanja. Au, kujaza viungo ili kumiliki mpira na mwisho kuweka pressure ili kuzuia beki wa upinzani kupanda. England hawakufanya hata moja kati ya hayo.

Tuliona udhaifu huo na ndiyo maana wengine tukasema ngoma bado hadi kipenga cha mwisho. Haikuchukua dk 5 ngoma ikaenda draw
 
Waingereza bana, kina danny murphy, chris sutton wako bize kumsifu harry kane huko bbc kuwa ni straiker hatari sana duniani na kudhibitisha hilo ana magoli sita kombe la dunia. Ila hawasemi ktk hayo magoli sita MANNE ni ya penati na moja ni deflection tu ya Loftus Cheek ilimgonga ikaingia.
 
yaan hao brazil utawakana tu, naomba akutane na france,[emoji16] ,, ivi nyie brazil mnaiogopea nn? acheni ushabiki, brazil safari yake imewadia
Brazil akitane na France kivipi?
Safari yake inaishia robo fainali, huko france hawezi fikaaa
 
Nope! kiwango cha England ni duni.

Jana nilisema Columbia ni underdog hata hivyo England wasifanye kosa na kudhani ni Senegal au Tunisia, wataduwazwa. Ni kweli wameduwazwa kwa ushindi wa matatu

Kwa timu yenye kadi 6, ilikuwa ni kupita katikati kwasababu wachezaji wasinge risk red card

England wakaamua kutumia forward 2 na cross wakimtumaini Kane.
Kiungo kikafa na kukaribisha mashambulizi. Hii mechi haikupaswa kwenda extra time

Kilichokosekana kwa England ni 'psychology' ya wachezaji kutambua kuwa Columbia walidhamiria kuwa frustrate ili wacheze kama wao.

Ndivyo England walivyovutika na kuacha pattern zao za PL na kucheza touch za South America. Huwezi kujifunza pattern mpya katika dakika 40 au 50.
Wakachanganyikiwa wacheze vipi hadi matatu yalipowaokoa

Mkuu acha utani ndugu yangu, wote tumetazama mechi. Sasa nakuwekea takwimu za mechi ya leo halafu kwa maoni yako uniambie team ipi ilikuwa na good overall performance.

IMG_20180704_010333.jpg
IMG_20180704_010320.jpg
IMG_20180704_010306.jpg
IMG_20180704_010253.jpg
IMG_20180704_010240.jpg
IMG_20180704_010226.jpg

Sasa naomba uniambie hiyo colombia yenu ilikuwa vizuri wapi wakati katika almost kila kipengele kitakwimu wamezidiwa na england.
 
Pamoja mwishoni mwa msimu hakuwa na fitness nzuri, lkn ktk kikosi cha uingereza sijaona kiungo wa kumuweka Jack Wilshare benchi na angekuwepo leo uingereza alikuwa anamaliza gemu mapema kabisa. England leo walimkosa mtu type ya Jack wa kukaa na kusambaza mipira pale kati na mwenye uwezo wa ku-assist, ndio maana walimua kucheza na refa ili wapewe faulo na kwa kugundua wamezidiwa wakaamua wamuingize Rose na Vady sababu wana kasi watawasaidia ktk counter attack, endapo colombia wangepoteza mipira pale kati, ila leo England washukuru James Rodriquez hakucheza la sivyo mechi isingeenda hata dk 120.
Wilshire yule ambaye hata arsenal hawamtaki?
 
No! sijui kama unaelewa ninachosema. Kwamba, kwa timu kama Columbia iliyokuwa na kadi na mchezaji wao maarufu akiwa hayupo kwenda extra time ilikuwa uzembe

Kwa England kuongoza hadi dakika ya 90 na kushindwa kupunguza kasi ya Columbia ni tatizo
England ilipaswa kujaza viungo ili mipira ikitua kati isipotee. Angalia chanzo cha goli la Columbia

Timu inapoongoza katika dk 90 kuna njia nyingi za kutawala. Kwanza ku slow down mchezo kwa pasi na kutanua uwanja. Au, kujaza viungo ili kumiliki mpira na mwisho kuweka pressure ili kuzuia beki wa upinzani kupanda. England hawakufanya hata moja kati ya hayo.

Tuliona udhaifu huo na ndiyo maana wengine tukasema ngoma bado hadi kipenga cha mwisho. Haikuchukua dk 5 ngoma ikaenda draw
Wala usijione mtabiri world cup hii ndio inaongoza kwa magoli kufungwa dakika za lala salama. Game ya England vs Tunisia goli la pili kane alifunga Dakika Ya 89. Zipo Game nyingi mno watu wamefungwa Dakika Za lala salama.

All in all Colombia alijaa kwenye mikono salama ya England. Huoni Harry Maguire alivyomficha Kunako Falcao. Huoni ndani ya dakika 120 colombia kapata kona mbili tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Yote hayo huoni umebaki kuitupia majungu team iliyofuzu hahaha.
 
Daud1990 Mkuu takwimu zipo kuonyesha hali ya mchezo. Muhimu ni oucome ya takwimu hizo
Kuna factor nyingine hazionekani katika takwimu lakini ni sehemu ya mchezo
Mfano, ubabe umeonekana katika takwimu zipi? foul si ubabe kumbuka
 
Waingereza bana, kina danny murphy, chris sutton wako bize kumsifu harry kane huko bbc kuwa ni straiker hatari sana duniani na kudhibitisha hilo ana magoli sita kombe la dunia. Ila hawasemi ktk hayo magoli sita MANNE ni ya penati na moja ni deflection tu ya Loftus Cheek ilimgonga ikaingia.
Kumbe siku hizi magoli ya penati huwa hayahesabiwi[emoji15]

Ronaldo mpaka anatoka world cup alikuwa na magoli manne, moja ni penalt na kuna siku alikosa penalt mkaanza kumtupia lawama.

Mtu mweusi ni jitu la hovyo duniani sasa ulitaka wamsifie messi au Ronaldo?[emoji15]
 
Umeshinda mkuu, harry kane ni bonge la straiker kombe la dunia hili, hamna mwingine ana magoli sita kafunga.
Ila kwangu mimi na yeyote anayejua mpira, straiker anayefunga magoli 4 na 3 kati ya hayo 4 ni ktk open play na yule anayefunga magoli 6 na 4 kati ya hayo sita ni penati na moja kati ya hayo sita ni deflection, kwa lugha nyingine kafunga goli moja tu ktk open play, kwangu yule wa goli tatu ni deadly zaidi.
 
Wala usijione mtabiri world cup hii ndio inaongoza kwa magoli kufungwa dakika za lala salama.

Huoni ndani ya dakika 120 colombia kapata kona mbili tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hakuna utabiri, kilichopo ni ufahamu wa mchezo(samahani kama nitakukwaza)
Ndilo tatizo letu waafrika tunaamini madogori zaidi ya utaalam lol

Umesema vema sana, Columbia kona 2 na kupata goli muhimu.
Siyo lazima kona ''10''zisizo na matokeo
 
Daud1990 Mkuu takwimu zipo kuonyesha hali ya mchezo. Muhimu ni oucome ya takwimu hizo
Kuna factor nyingine hazionekani katika takwimu lakini ni sehemu ya mchezo
Mfano, ubabe umeonekana katika takwimu zipi? foul si ubabe kumbuka
Matokeo ya ubane ni hizo kadi za njano, hebu angalia nani ana kadi za njano nyingi mkuu kwenye hizo takwimu nimezoweka.

Hakuna kitu kinatokea uwanjani kisitokee kwenye takwimu. Sema tena nikukumbushe.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna utabiri, kilichopo ni ufahamu wa mchezo(samahani kama nitakukwaza)
Ndilo tatizo letu waafrika tunaamini madogori zaidi ya utaalam lol

Umesema vema sana, Columbia kona 2 na kupata goli muhimu.
Siyo lazima kona ''10''zisizo na matokeo
Matokeo Gani muhimu wamepata colombia. Mkuu umekunywa safari[emoji1] [emoji1]

Timu iko inajiandaa kukwea pipa irudi kwao colombia unasema imepata matokeao muhimu au ulikuwa unaangalia ndondo cup ya shaffih dauda??? Maana kuna team inaitwa colombia ni ya Vikindu imeshinda leo 1-0...

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Wilshire yule ambaye hata arsenal hawamtaki?
Kwa England yule ni lulu (hata kwenye vilazer Kuna kilazer mwenye afadhali) , ila kwa Arsenal pale atasubiri sababu mikhitaryan na Ozil ni wazuri zaidi yake. England na Arsenal ni vitu viwili tofauti au ww mwenyewe fikiria kwa timu ya uingereza (si Arsenal) kuingo gani mwenye uwezo wa kukaa na mipira, kuchezesha timu na ku-assist.
 
Wilshire sio arsenal tena, kaachwa, hana timu sasa hivi. Southgate alimuacha sababu hayupo ktk liwango.
 
Matokeo ya ubane ni hizo kadi za njano, hebu angalia nani ana kadi za njano nyingi mkuu kwenye hizo takwimu nimezoweka.
Hakuna kitu kinatokea uwanjani kisitokee kwenye takwimu. Sema tena nikukumbushe
Hebu tuonyeshe frustrations za England zinaonekana vipi quantitatively katika takwimu.
Qualitatively tunajua England ilikuwa disarrayed , disorganized with low energy. Hazipo katika takwimu. Takwimu ni snapshot ya kukusaidia kuelewa big picture si utimilifu wa kila kitu

Pili, kudumaa kwa viungo wa England hakuonekani katika takwimu, tunaweza kuona kupitia ball possession na accurate pass ikiwemo pressure kwa England.
 
Back
Top Bottom