Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

*MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018*

Mechi ni...

FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA

*SASA ONA MAAJABU...*

FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7

BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7

SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7

RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7


Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July

kwa ufupi ni 6 vs 7



... Usipokuwa na imani strong utajua *Free Mansons* wanaendesha world cup!


Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...

Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda

#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!
Mkuu nachukua hii formula yako lakini kwa Belgium naweka mzigo tangu WC ianze haijachana mkeka wangu
 
Back
Top Bottom