Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Tutoleeni zilipendwa hapa. Hao Algeria hata kufuzu hawaja fuzu.
Tusitumie hisia tutumie uhalisia. Angalia timu alizokutana nazo Portugal, Angalia timu alizokutana nazo Iran, Angalia timu alizokutana nazo Morocco, hata Uruguay tu. Unafikiri hata kwa nini match walizocheza zilivutia ulimwengu wa mpira? bali hawa wamekutana na timu zinazojua mpira. Iangalie Japan iliyokutana na Belgium mpaka Belgium wakapoteana na ubora wao ule, laiti England ingelikutana na Japan unafikiri nini kingetokea.

Wewe hushtuki kwa nini baada ya miaka 28 ndiyo leo England wanaingia semifinals za worldcup? Hujiulizi hili? Kuhusu Algeria kutokufuzu haimanishi kwamba ni wadogo.
 
Croatia na Russia mchezo ni wa kasi sana. Hii ndiyo kasi ya Premier league
Sijui mchezo wa slow England wanauiga kutoka wapi
 
IMG_20180704_165003.jpg

Wadau niko mbali na bandani, naombeni mnilindie mkeka wangu
 
Back
Top Bottom