kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
poa kamanda tupo pamoja mimi mwenyewe nilikuwa napenda kombe liende america kusiniLazima niongee ukweli tu, hawakuwa vizuri kamanda..tusubiri next time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa kamanda tupo pamoja mimi mwenyewe nilikuwa napenda kombe liende america kusiniLazima niongee ukweli tu, hawakuwa vizuri kamanda..tusubiri next time
atashinda japo kwa mbinde Leo,mchezo kwao hutuzwaRussia piga hao
Russia anachapwa chiefatashinda japo kwa mbinde Leo,mchezo kwao hutuzwa
Russia hawezi kumfunga CroatiaRussia piga hao
Go go go the three lions pamoja sanaSafari hii tumeamua kukaa kimyaa, ndoo tunabebaa kimyakimya
Tusitumie hisia tutumie uhalisia. Angalia timu alizokutana nazo Portugal, Angalia timu alizokutana nazo Iran, Angalia timu alizokutana nazo Morocco, hata Uruguay tu. Unafikiri hata kwa nini match walizocheza zilivutia ulimwengu wa mpira? bali hawa wamekutana na timu zinazojua mpira. Iangalie Japan iliyokutana na Belgium mpaka Belgium wakapoteana na ubora wao ule, laiti England ingelikutana na Japan unafikiri nini kingetokea.Tutoleeni zilipendwa hapa. Hao Algeria hata kufuzu hawaja fuzu.
Uzuri mpira wachezwa hadharal watu sio kizani sasa waache waendelee sisi Russia bado inatuhitaji tuwepo.Hahaaa afuwani akhui...mpo vizuri sana. Kuna watu humu walinibishia sana.
Same boat Chief, waache wakariri et mcheza kwao!?Russia anachapwa chief
Mwaka huu tutafika mbali na iwe hivyo unavyofikiri na kuamini ni bora na afya kwetu.Eenh nilikuwa nayo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na kombe linaenda England sema watu watabisha
Tafuta nyuzi zote zinazoongelea the three lions utanikuta huko sijaanza kuipenda leo timu hii fanya mchakato huo utaliona jina langu.Pana uzi alianzisha ESCORT 1pitia hapo utatukuta.Ulikuwa wapi siku zote?
Mwaka huu tutafika mbali na iwe hivyo unavyofikiri na kuamini ni bora na afya kwetu.
Dennis Cheryshev madrid walikuwa nae huyu jamaa wakamtoaga mkopo nafikiriAsante Dana namba sita.hata sikujui jina lakooo