Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeeeeh!Because of you, just because of you I will support France tonight.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeeeeh!Because of you, just because of you I will support France tonight.
Giroud huwa anatembelea nyota ya wenzake. Hana chochote Cha maana. Ni mzigo mkubwa ufaransa.Teh teh teh nimeamua kujitoa mhanga nina Imani na vijana wangu akina Kante pogba Nadhani watawadhibiti vilivyo De Bruyne,Lukaku na Hazard na kazi itakuwa imeisha.Huku Dogo Mbape akiendelea kuleta shida pale mbele,ila Giroud Huwa simuelewi elewi
Kutoka Mumbai utaleta wahamiaji haramuNasikia Mdude umepangiwa route ya Dar-Mumbai( kupeleka Wagonjwa) na kuleta WATALII FROM MUMBAI.
[B][SIZE=5][COLOR=#b30000]Daud1990[/COLOR][/SIZE][/B], kama wewe si mlevi, hebu pitia tena post zako za nyuma utazame kama nimewahi kubishana na wewe. Hii ni post yangu ya tatu kwenye hii thread. Tatizo la ninyi vijana limbukeni wa juzi ni kukurupuka hovyo na hampimi maneno yenu. Kama ungetulia na ukafanya utafiti mdogo tu usingenihusisha na jambo nisilolijua!Mnafiki , Muongo Mkubwa.
Wewe wiki mbili zilizopita ulikuwa unatamba humu na kubishana na mimi kuwa England sio team leo umechange gia angani
.
France atampiga mtu Leo ,kipigo cha mbwa kokoTeam France mikono juu [emoji113]
subirini kushindania mshindi wa tatuBelgium msiniangushe
Yaani finger crossed my dada. Nawakubali wote ila France nawashangilia kwa vile ni weusi wenzangu
Sana yaani tena sana rafiki.
Utakuwa mwendo wa kutaniana tu pakikucha. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119]Upo vizuri,tupo pamoja
Andaa popcorn za kutosha tu Numbisa maana burudani itakua tele kwa tele
Sio kweliFrance atampiga mtu Leo ,kipigo cha mbwa koko