Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Teh teh teh nimeamua kujitoa mhanga nina Imani na vijana wangu akina Kante pogba Nadhani watawadhibiti vilivyo De Bruyne,Lukaku na Hazard na kazi itakuwa imeisha.Huku Dogo Mbape akiendelea kuleta shida pale mbele,ila Giroud Huwa simuelewi elewi
Giroud huwa anatembelea nyota ya wenzake. Hana chochote Cha maana. Ni mzigo mkubwa ufaransa.
 
Mnafiki , Muongo Mkubwa.
Wewe wiki mbili zilizopita ulikuwa unatamba humu na kubishana na mimi kuwa England sio team leo umechange gia angani
.
[B][SIZE=5][COLOR=#b30000]Daud1990[/COLOR][/SIZE][/B], kama wewe si mlevi, hebu pitia tena post zako za nyuma utazame kama nimewahi kubishana na wewe. Hii ni post yangu ya tatu kwenye hii thread. Tatizo la ninyi vijana limbukeni wa juzi ni kukurupuka hovyo na hampimi maneno yenu. Kama ungetulia na ukafanya utafiti mdogo tu usingenihusisha na jambo nisilolijua!
 
Ufaransa itashinda kama MBAPPE atavaa jez'namba anayovaa PSG.. Sio ZIDANE mgongoni.
Hapa EDEN Pale LUKAKU Kule KDB Mkata umeme FELA
Wanatokaje sasa?
 
Mpira utakuwa mkali sana, bt mwisho wa yote Belgium atasubiri kukutana na Croatia tarehe 15. Huku France na England wakikutana jmos kusaka mshindi wa tatu. Huwa sikoseagi.
 
Back
Top Bottom