Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kuna wadada wengne watakuwa wanashabikia team ipi ina mahandsome wengi hawatojali ipi ni Belgium ipi ni France [emoji16][emoji16] raha sana
haa haa mbona mimi leo team Belgium na sijaona handsome yoyote mule!!!
ila kuna ka ukweli fulani...nilijikutaga naishabikia colombia kisa Rodriguez
 
Back
Top Bottom