mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
hii ilipaswa iwe fainali.
majirani wote uwezo na vipaji vimebalance
majirani wote uwezo na vipaji vimebalance
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poapoa,.niambie mtu mwenye chakeMambo
haa haa mbona mimi leo team Belgium na sijaona handsome yoyote mule!!!Kuna wadada wengne watakuwa wanashabikia team ipi ina mahandsome wengi hawatojali ipi ni Belgium ipi ni France [emoji16][emoji16] raha sana
Leo tutafurahia shoo,.tehRudia kuangalia tena.
Pia nimesema mechi ya leo ni ngumu, naendelea kushikilia mkeka wangu
Wanarusha,Nipo mbali na dstv wakuu hawa tbc1 vipi wanarusha?
msaada kwa anaefahamu
Utachanika vibaya hutaaminiView attachment 806692
Mechi ya leo ni ngumu, kila mmoja humu kajipambanua upande aliopo.
Mimi naendelea kushikilia mkeka wangu kama kawaida.
Mshindi wa leo ndio Bingwa wa WC 2018.
Me team France.niko siti ya mbele,, tujuane mapema
ok safiiiiMe team France.
Nitakubaliana na chochote kitakachotokeUtachanika vibaya hutaamini
Tuko pamoja mpaka kipenga cha mwishoNaomba tuwe pamoja kwenye kushabikia..