Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Tulikuwa wote kumbee[emoji85][emoji85][emoji85]Pole!? Nitake radhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuwa wote kumbee[emoji85][emoji85][emoji85]Pole!? Nitake radhi.
Germany na Argentina na zote zimetoka mapema
Hongereni mkuu.
Wengi mnaosupport France ni kwasababu ya Brazil.
Mkuu unataka tubaki Bila Timu.Timu nyingi tulizokuwa tunashabikia zilishasepa.Nyingine ziliishia makundiInapendeza sana kushabikia timu from makundi hadi final
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 806816
Kipande cha tatu kimekatika.
Belgium ni timu ambayo imepoteza mechi moja tangu miachuano hii ianze. Pia ndio itakuwa mshindi wa tatu.
France itabeba ndoo hii, tangu awamu 4 za WC zipite baada kuibeba 1998.
Hongera sana France.
Hapa hapa au pm?nimekupa go ahead da vinci
Mpaka apewe kwenye final. Ndio atamisi mechi baada ya final.Hivi mbappe hana kadi mbili za njano kweli??
Match iliyopita hakupewa kadi?
Fainali atacheza kweli
Daaah apo ni shidaWanasema goli la beki Huwa halirudi (Kiimani zaidi)
Ndio maana nakupendaga..chaaaa hapa hasira yote imeishaaa[emoji23] [emoji23]Usijali...hahahahaa
Hapana mkuu. Naongelea kwa upande wangu, nimefurahi kushabikia France toka kwenye makundi hadi final.Mkuu unataka tubaki Bila Timu.Timu nyingi tulizokuwa tunashabikia zilishasepa.Nyingine ziliishia makundi
Najua wajibu wangu shem shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]Ndio maana nakupendaga..chaaaa hapa hasira yote imeishaaa[emoji23] [emoji23]
Ahaa poa, kesho tupo wote Croatia.Mie sababu nilikosa timu nilikua nashabikia spain na portugal na pia niliombea brazil itolewe kama nnavyoombea england itoke
Dah hongera mkuu,mie Brazil ilifanyiwa unyanyasaji na BelgiumHapana mkuu. Naongelea kwa upande wangu, nimefurahi kushabikia France toka kwenye makundi hadi final.
Mkuu mechi yao na uruguay si alipewa kadi?Mpaka apewe kwenye final. Ndio atamisi mechi baada ya final.
So much love,.Hapana mkuu. Naongelea kwa upande wangu, nimefurahi kushabikia France toka kwenye makundi hadi final.
Bora yao wao wanaochambua kabla ya dakika 90, kuliko wewe mchambuzi wa JF unayechambua baada ya mechiWachambuzi wa mpira bongo ni waongo sana, hawajui kuchambua, wanachojua ni kukariri historia ya mpira tu. Mchambuzi anayeaminiwa kabisa amekaa kwenye TV halafu anasema Belgium anaweza kumfunga France.
Japo Belgium ni timu nzuri, lakini kwa aina ya mchezo wao ilikuwa ni dhahiri wanafungwa ukilinganisha aina ya mchezo wanaocheza France.
Tukutane kesho.