Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Screenshot_2018-07-10 (2) Twitter.png
 
Wachambuzi wa mpira bongo ni waongo sana, hawajui kuchambua, wanachojua ni kukariri historia ya mpira tu. Mchambuzi anayeaminiwa kabisa amekaa kwenye TV halafu anasema Belgium anaweza kumfunga France.

Japo Belgium ni timu nzuri, lakini kwa aina ya mchezo wao ilikuwa ni dhahiri wanafungwa ukilinganisha aina ya mchezo wanaocheza France.

Tukutane kesho.
Bora yao wao wanaochambua kabla ya dakika 90, kuliko wewe mchambuzi wa JF unayechambua baada ya mechi
 
Back
Top Bottom