Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ndo alifanya nikaacha kushabikia uingerezakanchefua nmezma tv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo alifanya nikaacha kushabikia uingerezakanchefua nmezma tv
Zile mbio sio za mchezo bado vadyLovren kapanick tayari
kila la kheri. mimi nampenda mondric natamani afanikiwe kuchukua kombe.Tushashinda hii ngoma tunamfuata france mwenye mchezo wa kihuni
Hizi back pass na pickford mpaka autulize italeta shida pana kauzembe hapo nyuma.Hawa Watoto wa Malkia waafanya ujinga golini
Uingereza wamepigika sana mkuu acha wafurahi wanafadhili mataifa kibao kwenye ligi yao Mungu awaone nao daaakila la kheri. mimi nampenda mondric natamani afanikiwe kuchukua kombe.
Hasa walkerHizi back pass na pickford mpaka autulize italeta shida pana kauzembe hapo nyuma.
Dhahiri shahiri pana undezi na kujiamini kupita kipimo hilo tatizo lango la kusini (Southgate )alitizameHasa walker
France wana mpira wa kihuni sana kama wa mourinho tuIt's coming home! Hamna ubishi. Kipindi cha pili England wanaweka cha pili kisha mchezo umeisha.
France hana cha kutisha. Anakalishwa mapema sana.
Nitafurahi sana kama Russia wataumia na waumie kweli kweli, hakuna namna!Russia wanaumia sana england kuongoza
Wakibeba kombe ntafurahi sna
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani hawa England kama umeweka Neymar kumi na moja uwanja, wakiguswa tu kama wamegongwa na gari
Mkuu mpira ushaishaaTukimuingiza na vady ma mbio wamekwisha hawa nimegundua wazito kukimbia
Kombe letu hiliIt's coming home! Hamna ubishi. Kipindi cha pili England wanaweka cha pili kisha mchezo umeisha.
France hana cha kutisha. Anakalishwa mapema sana.