Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"It's coming home" it means the team is coming home.Wazee wa It's coming home wamejitahidi hadi kufika nusu fainali, ila walijisahau na kuanza kupiga kelele kutuaminisha wana timu bora kuliko zote..
It's coming home!! Coming home what? Maybe fourth position...
We una hamu tu ya kunya hadharani [emoji23]Croatia akichukua kombe nakunya mafungu mafungu mpak magogoni
Mkuu, chunga kauli yako, huyo Varane na Umtiti utakuja kuwalaumu,Croatia akichukua kombe nakunya mafungu mafungu mpak magogoni
Hongera
Shukran akhui nadhani hii timu sasa itakuwa chachu ya ushindi ukiangalia umri wao kuanzia 20 mpaka 26 wahenga ni Delph young na vardy hii inatoa ishara kuwa wana muda mrefu wa kuitumia timu.Pole sana akhui,,kiukweli mmejitahidi sana mlipofikia...timu zilizopewa nafasi kubwa zimeshindwa hata kufika robo final. Hongereni sana. Next time insha Allah
nimeihifadhi hii comment.Croatia akichukua kombe nakunya mafungu mafungu mpak magogoni
Shukran akhui nadhani hii timu sasa itakuwa chachu ya ushindi ukiangalia umri wao kuanzia 20 mpaka 26 wahenga ni Delph young na vardy hii inatoa ishara kuwa wana muda mrefu wa kuitumia timu.
Technically, minuteswise, Croatia wamecheza mechi moja zaidi ya france mpaka kufika fainali. Extra times 3, 30×3=90minutes.Hata France watafungwa kiulaini hawana defence yoyote ya maana ya kujivunia kiasi hicho
Technically, minuteswise, Croatia wamecheza mechi moja zaidi ya france mpaka kufika fainali. Extra times 3, 30×3=90minutes.Hata France watafungwa kiulaini hawana defence yoyote ya maana ya kujivunia kiasi hicho
Croatia ni hatari sana, wanapambana mwanzo mwisho, wanamaliza kama walivyoanza. Mechi tatu mfululizo wameenda Extra time lakini moto ni ule ule. Discipline ya hali ya juu.Technically, minuteswise, Croatia wamecheza mechi moja zaidi ya france mpaka kufika fainali. Extra times 3, 30×3=90minutes.
Jamaa kadri dakika zinavyoongezeka ndivyo kasi yao inaongezeka,Hawa wangekua waafrika wangepimwa MKOJO kujua km wanatumia DAWA za kuongeza NGUVU ,mechi tatu za mtoano wamecheza dakika 120 si mchezoCroatia ni hatari sana, wanapambana mwanzo mwisho, wanamaliza kama walivyoanza. Mechi tatu mfululizo wameenda Extra time lakini moto ni ule ule. Discipline ya hali ya juu.
Nasimama nao Final.
Kifiro cha FidiFosi kitakuhusuCroatia akichukua kombe nakunya mafungu mafungu mpak magogoni
ivi kwanini baada ya mechi kuisha na england kutolewa mashabiki wa france walishangilia sana mpaka kupigana na polisi????hawa jamaa wameona nini kwenye fainali yao jumapili