Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Wazee wa It's coming home wamejitahidi hadi kufika nusu fainali, ila walijisahau na kuanza kupiga kelele kutuaminisha wana timu bora kuliko zote..

It's coming home!! Coming home what? Maybe fourth position...
"It's coming home" it means the team is coming home.
 
Pole sana akhui,,kiukweli mmejitahidi sana mlipofikia...timu zilizopewa nafasi kubwa zimeshindwa hata kufika robo final. Hongereni sana. Next time insha Allah
Shukran akhui nadhani hii timu sasa itakuwa chachu ya ushindi ukiangalia umri wao kuanzia 20 mpaka 26 wahenga ni Delph young na vardy hii inatoa ishara kuwa wana muda mrefu wa kuitumia timu.
 
Kwa ukuta na viungo wakabaji kwekweli wa France, sitegemei Croatia kushinda hiyo mechi....ila chchote kinauwezo wa kutokea ila France 80% ya ushindiii.
 
mi tangu fainali ya ulaya alipofungwa nyumbani kwake na ureno BC huwa siwaamini kabisa ufaransa
 
Hata France watafungwa kiulaini hawana defence yoyote ya maana ya kujivunia kiasi hicho
 
Technically, minuteswise, Croatia wamecheza mechi moja zaidi ya france mpaka kufika fainali. Extra times 3, 30×3=90minutes.
Croatia ni hatari sana, wanapambana mwanzo mwisho, wanamaliza kama walivyoanza. Mechi tatu mfululizo wameenda Extra time lakini moto ni ule ule. Discipline ya hali ya juu.

Nasimama nao Final.
 
Croatia ni hatari sana, wanapambana mwanzo mwisho, wanamaliza kama walivyoanza. Mechi tatu mfululizo wameenda Extra time lakini moto ni ule ule. Discipline ya hali ya juu.

Nasimama nao Final.
Jamaa kadri dakika zinavyoongezeka ndivyo kasi yao inaongezeka,Hawa wangekua waafrika wangepimwa MKOJO kujua km wanatumia DAWA za kuongeza NGUVU ,mechi tatu za mtoano wamecheza dakika 120 si mchezo
 
ivi kwanini baada ya mechi kuisha na england kutolewa mashabiki wa france walishangilia sana mpaka kupigana na polisi????hawa jamaa wameona nini kwenye fainali yao jumapili
 
ivi kwanini baada ya mechi kuisha na england kutolewa mashabiki wa france walishangilia sana mpaka kupigana na polisi????hawa jamaa wameona nini kwenye fainali yao jumapili

France vs Argentina ....4-3
France vs Uruguay 2-0
France vs Beligium 1-0
Naomba Fifa hli kombe walitangulize Paris mapema iwezekanavyo.....mambo ya kwenda extra tyme France hatujazoea...dk 90 zinatosha kabisa...turud home tuendeles na mambo mengne
 
Back
Top Bottom