Rusumo: Mpaka pekee unaoweza kupitisha magendo yoyote hasa usiku

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Mpaka wa Tanzania na Rwanda upande wetu Tanzania ndio mpaka pekee unaoweza kupitisha magendo ya aina yoyote iwe kutokea Rwanda ama Congo DR.

Ndio mpaka unaolindwa kizembe kuliko huenda kuliko mipaka yote ya Tanzania!

Suma JKT eti ndio walinzi wakuu wa Exit gate letu pale Rusumo huku nyakati za usiku maafisa wa forodha na usalama wa taifa wakiwa ama baa wakilewa ama makwao wakikoroma.

Aibu zaidi ni pale exit gate letu kuelekea Rwanda ifikapo saa 5 usiku huwezi kukuta afisa wa forodha pale na ukiuliza unaambiwa ndiyo kawaida yao huwa wanaenda kulala hadi saa 10 alfajiri kesho yake jambo ambalo huwa linasababisha foleni ya maroli usiku.

Ajabu ukivuka upande wa Rwanda maafisa wao wote huwepo kwa saa 24 tena kamwe hukuti amesinzia hata kwa bahati mbaya!

Hii ni aibu kubwa kwa mamlaka za Tanzania.
 
kwa hawafanyi kazi kwa shift kwa maana ya day and night? shift tatu au mbili ?
 
7AAE1B79-FADD-40F2-86AF-400E83987323.jpeg
 
Hamia Rwanda au Congo mkuu.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini usipitishe na wewe mkuu?
 
Back
Top Bottom