Rusumo: Mpaka pekee unaoweza kupitisha magendo yoyote hasa usiku

huyu demu magumashi... magendo gani utakayoyatoa congo ama rwanda kuyaingiza tz.. hiyo boarder mizigo asilimia kubwa ama zote ni inayoenda huko..

Nimepitisha sana dhahabu ya congo pale, kahawa nimeipeleka Rwanda kutoka Burundi then unavushia Rusumo, simu kigali bei rahisi unavusha pale bila kodi yoyote, silaha na risasi zinavukia pale tena kule chini mtoni, kwa ufupi miaka 20 magendo nafanya na sijawahi kukamatwa boda yoyote ile tena kwa magufuli tulirudi nyuma lakini kwa sasa kazi inaendelea iwe kipodozi ngoma inogile, iwe kitenge cha congo unaingiza tu tani unazotaka mambo yanaenda kwa ufupi nchi imefunguliwa ngoja tufunguke nayo, wakisema wanalamba asali tunasema lazima tulambe wote kwani nini?
 
VIPI KUHUSU SIRAHA HARAMU MKUU?? NAYO SIO MAGENDO?? HUJUI KUWA ZILE NYINGI KUNA SIRAHA ZISIZO HALALI NYINGI MNO MITAANI?? HUJUI WANAWEZA ZIPENYEZA HUKU???

Pale msimu wa viazi mviringo ndio msimu pekee rahisi kupitisha hata silaha boda za bongo ukaguzi zero, yaani hata tiss waliopo boda wakilewa wanajitangaza sasa lini utashindwa kufanya magendo na ukifuata sheria mara kodi kubwa so unajilipua kikubwa upate pesa yako uishi na wewe ulambe asali
 
Nimepitisha sana dhahabu ya congo pale, kahawa nimeipeleka Rwanda kutoka Burundi then unavushia Rusumo, simu kigali bei rahisi unavusha pale bila kodi yoyote, silaha na risasi zinavukia pale tena kule chini mtoni, kwa ufupi miaka 20 magendo nafanya na sijawahi kukamatwa boda yoyote ile tena kwa magufuli tulirudi nyuma lakini kwa sasa kazi inaendelea iwe kipodozi ngoma inogile, iwe kitenge cha congo unaingiza tu tani unazotaka mambo yanaenda kwa ufupi nchi imefunguliwa ngoja tufunguke nayo, wakisema wanalamba asali tunasema lazima tulambe wote kwani nini?
Shusha mambo babu
 
Shusha mambo babu

Ukweli ni kwamba boda za tanzania nakutajia Namanga, Rusumo, mutukula, Tunduma, Munanila, kabanga, kasumulo, horohoro Tangazo na nyingine nyingi ni vichochoro salama kabisa kwa biashara yoyote ile iwe madawa ya kulevya sawa maana watu wanatoka Dar na mzigo wanapitia tunduma kwa basi kwenda zimland na south, iwe kuvusha wasomali na waethiopia boda za Bongo rahisi sana, iwe kuvusha mercury ya magendo kwenda congo kutoka bongo ni raha tu ukaguzi hakuna hata mimi nilishasema hapa jukwaani lakini twende nao hivo hivo
 
Nimepitisha sana dhahabu ya congo pale, kahawa nimeipeleka Rwanda kutoka Burundi then unavushia Rusumo, simu kigali bei rahisi unavusha pale bila kodi yoyote, silaha na risasi zinavukia pale tena kule chini mtoni, kwa ufupi miaka 20 magendo nafanya na sijawahi kukamatwa boda yoyote ile tena kwa magufuli tulirudi nyuma lakini kwa sasa kazi inaendelea iwe kipodozi ngoma inogile, iwe kitenge cha congo unaingiza tu tani unazotaka mambo yanaenda kwa ufupi nchi imefunguliwa ngoja tufunguke nayo, wakisema wanalamba asali tunasema lazima tulambe wote kwani nini?

Kwa uongo uko vzr eti silaha na risasi unavusha tu Rwanda,juzi naona umeandika eti ulikua unawauzia M23 mabuti nikacheka Saana.

Yaani hao M23 wanaokua supported na serikali ya Rwanda/ jeshi Lao(RDF) liache kuwapa buti uje kua wewe mwananzengo ndio uwauzie mabuti [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
VIPI KUHUSU SIRAHA HARAMU MKUU?? NAYO SIO MAGENDO?? HUJUI KUWA ZILE NYINGI KUNA SIRAHA ZISIZO HALALI NYINGI MNO MITAANI?? HUJUI WANAWEZA ZIPENYEZA HUKU???
silaha zipitie border.. !?? vichochoro vyote vya pori tu pori wapitishie nini sasa huko!?
 
Mpaka wate pale Rusumo unalindwa kizembe sana, kwa maneno ya kueleweka hatulindi kitu pale!. Kazi Iko upande wa Rwanda, kule wako makini sana iwe unaingia au unatoka.

Mpawa wetu wote upande wa Magharibi kwa nchi mbili tunazopakana nazo, yaani Rwanda na Burundi, Kuna njia nyingi tu za panya, kule kwenye ofisi rasmi za mipakani wengi wapo wapo tu hawana kazi ya kufanya. Labda ujengwe ukuta.
 
Mipaka yetu yote ndivyo ilivyo,umeshawahi kujiuliza hao wahamiaji haramu toka Ethiopia Somalia nk.wanaokamatwa Morogoro Mbeya na kwingineko,wakielekea South Africa huwa wanaingiaje nchini undetected.
 
Kwa uongo uko vzr eti silaha na risasi unavusha tu Rwanda,juzi naona umeandika eti ulikua unawauzia M23 mabuti nikacheka Saana.

Yaani hao M23 wanaokua supported na serikali ya Rwanda/ jeshi Lao(RDF) liache kuwapa buti uje kua wewe mwananzengo ndio uwauzie mabuti [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Unaandika kuwasaidia wewe unaleta porojo, umetulia wapi sijui tungekuonesha wabeba mizigo kwa baiskeli pale wananvovusha magendo, au vijana wanaochenji pale dezi na wenzake sema tukuache na ujinga wako, haya chukua hii silaha inatoka pakistani, inashukia bandari ya mombasa, inapigwa kama ni risasi zinawekwa kwenye ndoo za mafuta na lebo kabisa halafu pale inapita kama mafuta ya kula hadi zinawafikia waasi na inaweza gari kupitia uganda au rwanda hadi m23 wanazipata iwe risasi au vinginevo wewe hujui lolote dogo tulia
 
[emoji1][emoji1][emoji1]

[emoji1][emoji1] Yaani kagame aache kuwapa silaha M23 then akuache wewe eti upitishe silaha ndani ya ndoo za Mafuta ya kupikia, kupata kichekesho hiki andika neno COMEDIAN kwenda no. 17899
 
Back
Top Bottom