Rusumo: Mpaka pekee unaoweza kupitisha magendo yoyote hasa usiku

Wanafanya,bali ni uzembe wa hali ya juu unaofanyika pale.

Wenzetu pale upande wa Rwanda wapo makini na wanatimiza majukumu yao ipasavyo.
Ina maana hapo hawa wa kwetu wana tatizo kubwa la uzalendo.Wale wa Rwanda wanajitambua kuwa wapo pale kwa faida na usalama wa wananchi wao Rwanda.Ila sisi ukute watu wamewekana pale ki dili dili wala si kwa maslahi mapana ya nchi.Inasikitisha kama habari hii ni ya kweli.
 
Nenda kajaribu kupitisha ndio utaona, kama Rwanda hawalali, Tanzania yatapitaje? Rwanda wanapenda kukaa na mabunduki na uniform, Tanzania wanatumia staili nyingine ya kiulinzi
 
Wa kwetu pale uzalendo kwa nchi ni zero.
 
Nenda kajaribu kupitisha ndio utaona, kama Rwanda hawalali, Tanzania yatapitaje? Rwanda wanapenda kukaa na mabunduki na uniform, Tanzania wanatumia staili nyingine ya kiulinzi
Mamia ya maroli yanapitisha simu,vitenge,maziwa,dhahabu na huenda hata siraha haramu hupitia hapo kwa uzembe wetu.

Kuhusu Wanyarwanda wengi kutorokea kwetu kupitia ndani ya maroli ndiyo usiseme!

Pori na hifadhi ya Burigi inateketezwa kwa mamia ya mkaa unaopelekwa huko Rwanda na watu wanapiga hela tu.

Suala la ukaguzi na ulinzi katika mageti yetu pale Rusumo ni zero kabisa!
 
Wanafanya,bali ni uzembe wa hali ya juu unaofanyika pale.

Wenzetu pale upande wa Rwanda wapo makini na wanatimiza majukumu yao ipasavyo.

ooooh shida ni wafanyakazi wazembe kutotimiza majukumu yao.... Hili ni shida kwa watanzania karibu wote "uzembe" na "uvivu" ni inborn inayohitaji mimi na wewe kuanzia kwenye ngazi ya familia tufundishe vijana kuwa hardworker.... Ulaya na America walivuka hizi hatua ndio maana tunawaona wako kwenye "lets the horse fly free" Tatizo hili lilianzia kwa babu zetu baada ya uhuru...
 
Tz ni shamba la Bibi..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…