Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Soma
Soma historia ya Kenya wacha maneno mingi nyakoDuuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma historia ya Kenya wacha maneno mingi nyakoDuuh!
Kasome tena mkuu. Ruto hajawahi kuwa na influence yeyote ya kifamilia. Kafika alipofika kwa jitihada zake mwenye.Ukomavu wake nini? Kuhamisha kura 10k
Ruto ni familia ya Ikulu
Kenyatta ya Ikulu
Odinga ana nani?
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa.
Pamoja na urafiki wa muda mrefu wa wawili hawa lakini mara kadhaa walikuwa wakipishana kauli na mwaka jana walikwaruzana kiasi cha Rais Kenyatta, kuamua kumuunga mkono mgombea urais kupitia Azimio la Umoja, Raila Odinga "Baba" akimtosa makamu wake Ruto aliyesimama kwa tiketi ya Kenya Kwanza.
Baada ya kutangazwa ushindi wa Ruto kuwa Rais Mteule wa Rais ya Kenya, maswali yamekuwa mengi vichwani mwa watu wengi.
Je Rais Uhuru Kenyatta ni kweli ameshindwa? Ni kweli kabisa Rais Kenyatta alichagua upande ambao hakua na uhakika wa kushinda?
Mwanafalsafa Muitaliano, Niccolò di Bernardo dei Machiavelli aliwahi kusema ni mpumbavu pekee anayeweza kupoteza uchaguzi akiwa madarakani, je tumuweke Uhuru katika hili kundi la Machiavelli au tuanze kuwa kwamba kuna namna Baba amechezewa mchezo?
Huyuhuyu Uhuru aliwahi kuwaambia Wakenya yeyey akitoka madarakani ataiacha nchi kwa kijana zaidi yake na sio kwa mzee, Je ndio tuseme amelihakikisha hilo?
Je, kugombana kwake na Ruto ilikuwa ni sehemu ya kumsafishia njia na kumuondoa kwenye kivuli cha madhila ya Serikali aliyohudumu kwa miaka 10?
Wakati bado unatafakari nakuacha na mfano huu:
"UHUU na RUU walikuwa marafiki. RUU akamwomba UHUU amuamchie kibanda chake cha mihogo kwa kuwa juma amemaliza muda wake…..........UHUU akamwambia RUU kuwa akimwachia kibanda ghafla atatengeneza uadui na wengine kwani kila mtu anataka kibanda hicho, lakini pia itaonekana kama wanapokezana kijiti …....... UHUU na RUU wakapanga kuwa wagombane kwa muda mrefu …..ugomvi wao ulidumu kwa mwaka mmoja hivi na watu wote mtaani waliamini hivyo........uchaguzi ukaja, HADHARANI, UHUU akamuunga mkono BABA, ila kwa kifupi ni kwamba jana UHUU kampa RUU kibanda."
Tafakari, TujadiliView attachment 2325005
KabisaaaRuto na UHURU wamemchezea Odinga mchezo
"kihee" hawezi ongoza kenya--- Kikuyu mafias-- Hadi Kiambu na Nyeri na kirinyaga kwa Martha wakapigwa. Kikuyus kikuyus kikuyus kikuyus mungu anawaona mmemmuuza BabaTume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa.
Pamoja na urafiki wa muda mrefu wa wawili hawa lakini mara kadhaa walikuwa wakipishana kauli na mwaka jana walikwaruzana kiasi cha Rais Kenyatta, kuamua kumuunga mkono mgombea urais kupitia Azimio la Umoja, Raila Odinga "Baba" akimtosa makamu wake Ruto aliyesimama kwa tiketi ya Kenya Kwanza.
Baada ya kutangazwa ushindi wa Ruto kuwa Rais Mteule wa Rais ya Kenya, maswali yamekuwa mengi vichwani mwa watu wengi.
Je Rais Uhuru Kenyatta ni kweli ameshindwa? Ni kweli kabisa Rais Kenyatta alichagua upande ambao hakua na uhakika wa kushinda?
Mwanafalsafa Muitaliano, Niccolò di Bernardo dei Machiavelli aliwahi kusema ni mpumbavu pekee anayeweza kupoteza uchaguzi akiwa madarakani, je tumuweke Uhuru katika hili kundi la Machiavelli au tuanze kuwa kwamba kuna namna Baba amechezewa mchezo?
Huyuhuyu Uhuru aliwahi kuwaambia Wakenya yeyey akitoka madarakani ataiacha nchi kwa kijana zaidi yake na sio kwa mzee, Je ndio tuseme amelihakikisha hilo?
Je, kugombana kwake na Ruto ilikuwa ni sehemu ya kumsafishia njia na kumuondoa kwenye kivuli cha madhila ya Serikali aliyohudumu kwa miaka 10?
Wakati bado unatafakari nakuacha na mfano huu:
"UHUU na RUU walikuwa marafiki. RUU akamwomba UHUU amuamchie kibanda chake cha mihogo kwa kuwa juma amemaliza muda wake…..........UHUU akamwambia RUU kuwa akimwachia kibanda ghafla atatengeneza uadui na wengine kwani kila mtu anataka kibanda hicho, lakini pia itaonekana kama wanapokezana kijiti …....... UHUU na RUU wakapanga kuwa wagombane kwa muda mrefu …..ugomvi wao ulidumu kwa mwaka mmoja hivi na watu wote mtaani waliamini hivyo........uchaguzi ukaja, HADHARANI, UHUU akamuunga mkono BABA, ila kwa kifupi ni kwamba jana UHUU kampa RUU kibanda."
Tafakari, TujadiliView attachment 2325005
Eti kwa nini vifungo vya chini vya koti hawafungi?Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa.
Pamoja na urafiki wa muda mrefu wa wawili hawa lakini mara kadhaa walikuwa wakipishana kauli na mwaka jana walikwaruzana kiasi cha Rais Kenyatta, kuamua kumuunga mkono mgombea urais kupitia Azimio la Umoja, Raila Odinga "Baba" akimtosa makamu wake Ruto aliyesimama kwa tiketi ya Kenya Kwanza.
Baada ya kutangazwa ushindi wa Ruto kuwa Rais Mteule wa Rais ya Kenya, maswali yamekuwa mengi vichwani mwa watu wengi.
Je Rais Uhuru Kenyatta ni kweli ameshindwa? Ni kweli kabisa Rais Kenyatta alichagua upande ambao hakua na uhakika wa kushinda?
Mwanafalsafa Muitaliano, Niccolò di Bernardo dei Machiavelli aliwahi kusema ni mpumbavu pekee anayeweza kupoteza uchaguzi akiwa madarakani, je tumuweke Uhuru katika hili kundi la Machiavelli au tuanze kuwa kwamba kuna namna Baba amechezewa mchezo?
Huyuhuyu Uhuru aliwahi kuwaambia Wakenya yeyey akitoka madarakani ataiacha nchi kwa kijana zaidi yake na sio kwa mzee, Je ndio tuseme amelihakikisha hilo?
Je, kugombana kwake na Ruto ilikuwa ni sehemu ya kumsafishia njia na kumuondoa kwenye kivuli cha madhila ya Serikali aliyohudumu kwa miaka 10?
Wakati bado unatafakari nakuacha na mfano huu:
"UHUU na RUU walikuwa marafiki. RUU akamwomba UHUU amuamchie kibanda chake cha mihogo kwa kuwa juma amemaliza muda wake…..........UHUU akamwambia RUU kuwa akimwachia kibanda ghafla atatengeneza uadui na wengine kwani kila mtu anataka kibanda hicho, lakini pia itaonekana kama wanapokezana kijiti …....... UHUU na RUU wakapanga kuwa wagombane kwa muda mrefu …..ugomvi wao ulidumu kwa mwaka mmoja hivi na watu wote mtaani waliamini hivyo........uchaguzi ukaja, HADHARANI, UHUU akamuunga mkono BABA, ila kwa kifupi ni kwamba jana UHUU kampa RUU kibanda."
Tafakari, Tujadili.
View attachment 2325005
Siasa ni akili!Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa.
Pamoja na urafiki wa muda mrefu wa wawili hawa lakini mara kadhaa walikuwa wakipishana kauli na mwaka jana walikwaruzana kiasi cha Rais Kenyatta, kuamua kumuunga mkono mgombea urais kupitia Azimio la Umoja, Raila Odinga "Baba" akimtosa makamu wake Ruto aliyesimama kwa tiketi ya Kenya Kwanza.
Baada ya kutangazwa ushindi wa Ruto kuwa Rais Mteule wa Rais ya Kenya, maswali yamekuwa mengi vichwani mwa watu wengi.
Je Rais Uhuru Kenyatta ni kweli ameshindwa? Ni kweli kabisa Rais Kenyatta alichagua upande ambao hakua na uhakika wa kushinda?
Mwanafalsafa Muitaliano, Niccolò di Bernardo dei Machiavelli aliwahi kusema ni mpumbavu pekee anayeweza kupoteza uchaguzi akiwa madarakani, je tumuweke Uhuru katika hili kundi la Machiavelli au tuanze kuwa kwamba kuna namna Baba amechezewa mchezo?
Huyuhuyu Uhuru aliwahi kuwaambia Wakenya yeyey akitoka madarakani ataiacha nchi kwa kijana zaidi yake na sio kwa mzee, Je ndio tuseme amelihakikisha hilo?
Je, kugombana kwake na Ruto ilikuwa ni sehemu ya kumsafishia njia na kumuondoa kwenye kivuli cha madhila ya Serikali aliyohudumu kwa miaka 10?
Wakati bado unatafakari nakuacha na mfano huu:
"UHUU na RUU walikuwa marafiki. RUU akamwomba UHUU amuamchie kibanda chake cha mihogo kwa kuwa juma amemaliza muda wake…..........UHUU akamwambia RUU kuwa akimwachia kibanda ghafla atatengeneza uadui na wengine kwani kila mtu anataka kibanda hicho, lakini pia itaonekana kama wanapokezana kijiti …....... UHUU na RUU wakapanga kuwa wagombane kwa muda mrefu …..ugomvi wao ulidumu kwa mwaka mmoja hivi na watu wote mtaani waliamini hivyo........uchaguzi ukaja, HADHARANI, UHUU akamuunga mkono BABA, ila kwa kifupi ni kwamba jana UHUU kampa RUU kibanda."
Tafakari, Tujadili.
View attachment 2325005
Haya mawazo mnawaza wabongo, wakenya wao hawana akili ya kujua hili?Mnaofikilia kuwa RUTO na UHURU ati walikuwa na ugomvi basi mlikuwa mbali sana na uhalisia.Wale ni marafiki wakubwa na urafiki wao haukuwahi kuteteleka.Walichokuwa wanakifanya ni kumlaghai RAILA ODINGA tuuu.
Wacha tusikie na wengineUhuru kafanikiwa kumzuia mjaluo kwa kumhadaa Nasema Uongo Ndugu Zangu?
Ni kweli kabisa serikali inayotoka madarakani mara nyingi huchukiwa sana na wananchi ndio maana bongo 2015 walimpa Magu ili kufifisha chuki za wananchi na kupooza hali.Huu ni mchezo umechezwa. Akili kubwa sana imetumika. Raila kauzwa.
Hili igizo la ugomvi ilikuwa ni muhimu kwa sababu zifuatazo;
1. Serikali inayomaliza muda wake huwa haipendwi hivyo Ruto angegombea toka serikali inayomaliza muda wake asingeuzika. Hivyo ilibidi wajifanye wanagombana ili chuki dhidi ya serikali inayomaliza muda wake isimuhusu Ruto.
2. Rais kumaliza muda wake na kumuachia makamu wake ingeleta dhana ya Ufalme na wananchi wangemkataa Ruto.
3. Hata angeuzika na akashinda kiuhalali au kwa kuiba kura, kutangazwa kwake Ruto kungeleta fujo kubwa hivyo ilibidi serikali ijifanye inamuunga mkono Odinga ili akitangazwa kushindwa ionekane hapakuwa na namna.
4. Serikali inayoondoka madarakani mara nyingi inachukiwa, hivyo Kenyata kumuunga mkono Raila ni kumuhamishia lawama zake hivyo wasiompenda Kenyata na serikali yake lazima wamchukie na mgombea wake / anayemuunga mkono. A friend of my enemy is my enemy.
5. Kujifanya Uhuru na Ruto wanagombana ni kumtafutia kura za huruma kwa Ruto kwamba kasalitiwa na ananyanyaswa.
6. Uhuru kumuunga mkono Raila ni kumvuta karibu ili kumshauri vibaya na kuchota siri za kambi yake wakati wa uchaguzi.
7. Uhuru kumuunga mkono Raila ni kuonesha kuwa watoto wa viongozi wanataka kupeana madaraka so Ruto anajitokeza kama Hustler, son of no body ili kuwavuta watu wengi wa hali ya chini.
Hapa Uhuru kafaulu kumuachia jamaa yake kama walivyoahidiana.