Kenya 2022 Ruto Ameshinda, Je, ni kweli Rais Uhuru Kenyatta Ameshindwa? Au Odinga kachezewa Mchezo?

Kenya 2022 General Election
Ndo maana umeambiwa KENYA KUNA TUME HURU YA UCHAGUZI.
pigia mstari TUME HURU.
kwa maana hyo yoyote anaweza kuwa
 
Ukomavu wake nini? Kuhamisha kura 10k
Ruto ni familia ya Ikulu
Kenyatta ya Ikulu
Odinga ana nani?
Kasome tena mkuu. Ruto hajawahi kuwa na influence yeyote ya kifamilia. Kafika alipofika kwa jitihada zake mwenye.

Unauliza Odinga ana nani? Baba yake Odinga alikuwa Makamo wa Raisi wa kwanza kabisa Kenya chini ya baba yake Uhuru. Sasa huoni kama huyo ana kila mtu? Kakulia kwenye mazingira ya madaraka kuchukulia kama ni haki yake na yeye kuwa raisi.
 

Uhuru alidhamiria kumuunga mkono Raila kwa dhati na hakuna ushahidi wowote kwamba kulikuwa na njama za kufanya hivyo kimkakati ili Ruto ashindwe.
 
Mzee kachezewa movie kali sn na hawa vijana
 
Kenya hawana siasa za ukijani system yote kijani
Sjui tume ya uchaguz kijani
Vyombo vya ulinz na usalama kijani
Wasimamizi uchaguz kijani
Sasa kwa style hiyo kuna uchaguz kweli

Ova
 
"kihee" hawezi ongoza kenya--- Kikuyu mafias-- Hadi Kiambu na Nyeri na kirinyaga kwa Martha wakapigwa. Kikuyus kikuyus kikuyus kikuyus mungu anawaona mmemmuuza Baba
 
Hojaless za sampuli hii utazisikia kutoka kwenu nyie majirani, no offence. Wengi wenu mnajazia comments tu, wakati ni wazi kwamba hamuelewi hata abc za siasa za Kenya. Mnatuchosha acheni tupumue sasa, kipenga kimepigwa game imeisha hiyo. Nyanyukeni kutoka kwenye viti vya mashabik, giza ndio hilo linatanda na daladala zitaisha.
 
Eti kwa nini vifungo vya chini vya koti hawafungi?
 
Siasa ni akili!
Your browser is not able to display this video.
 
Nipo najiuliza yani sisi tunawezaje kujua kwamba odinga anachezewa mchezo wakati huo odinga asijue kuwa anachezewa mchezo? Kama anajua na alijua bas vp alikubali?
 
Mnaofikilia kuwa RUTO na UHURU ati walikuwa na ugomvi basi mlikuwa mbali sana na uhalisia.Wale ni marafiki wakubwa na urafiki wao haukuwahi kuteteleka.Walichokuwa wanakifanya ni kumlaghai RAILA ODINGA tuuu.
 
Kwa mlioanza kufuatilia siasa za Kenya kipindi cha kampeni za uchaguzi 2022 ndiyo mnaulizana maswali kama hayo.

UHURUTO walionesha kutofautiana baada tu ya uchaguzi wa 2017.

Hayo ma-Hand shake na BBI walikuwa wako mbingu na ardhi.
 
Kura ndio zimeamua mshindi, hayo ya kuuzwa ni hadithi za kubuni tu.
 
Mnaofikilia kuwa RUTO na UHURU ati walikuwa na ugomvi basi mlikuwa mbali sana na uhalisia.Wale ni marafiki wakubwa na urafiki wao haukuwahi kuteteleka.Walichokuwa wanakifanya ni kumlaghai RAILA ODINGA tuuu.
Haya mawazo mnawaza wabongo, wakenya wao hawana akili ya kujua hili?
 
Ni kweli kabisa serikali inayotoka madarakani mara nyingi huchukiwa sana na wananchi ndio maana bongo 2015 walimpa Magu ili kufifisha chuki za wananchi na kupooza hali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…