Kenya 2022 Ruto Ameshinda, Je, ni kweli Rais Uhuru Kenyatta Ameshindwa? Au Odinga kachezewa Mchezo?

Kenya 2022 General Election
Mnaofikilia kuwa RUTO na UHURU ati walikuwa na ugomvi basi mlikuwa mbali sana na uhalisia.Wale ni marafiki wakubwa na urafiki wao haukuwahi kuteteleka.Walichokuwa wanakifanya ni kumlaghai RAILA ODINGA tuuu.
Kwenye siasa watu hupenda ku-create conspiracy theories na mara nyingi huwa zinapata ma-believer na mashabiki wengi sana. Hii ni mojawapo. Uhuru katu asingeweza kucheza kamari mbaya namna hiyo kwani hakuwa anajua outcome itakuwaje hasa jinsi uchaguzi na uhesabu wa kura ulivyokuwa wa uwazi. Na zaidi ukichukuwa margin Ruto aliyoshinda nayo utajua kabisa kuwa yeyote kati yao angeweza kushinda. Niambieni kilichofanya Raila kushindwa ni watu wengi kutojitokeza kupiga kura nitaelewa.
 
Great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…